Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

Mkuu ungetoa maelekezo ya kina kuhusu tume ya usuluhishi..Na pia ungetoa ufafanuzi na direction ya ofisi zao zilipo ili wadau wapate mahali pa kuanzia.
 
....kama bado hawajatuelewa basi itabidi tuelekee ofisi ya WAZIRI MKUU...
 
Badala ya kuandamana,nendeni Tume ya Usuluhishi mkafungue shauri la kusimamishwa kazi haswa kwa kuegemea kifungu cha 9(b) cha Sheria ya Kazi na Mahusiano kazini ya mwaka 2004

eh eh eh , mkuu unachekesha sana,kwani hao tayari ni employees au? sheria iyo iyo imetaja who is an employee, na wewe umeleta kifungu kinachohusu Haki ya kushiriki kwenye chama cha wafanyakazi makazini, mkuu au unawapotosha, au unafurahisha umma au unawaenjoy wakati wenzio wako serious...NISEME TU UKWELI MCHUNGU, ILA SIONI WATAANZIA WAPI KISHERIA KUTEKELEZA AYA MAONI YAKO MKUU!!
 
USISEME HAIWEZEKANI WAKATI HUJAJARIBU...USISEME UMENYIMWA WAKATI HUJAOMBA..PENYE NIA PANA NJIA...napenda kutoa ushauri wangu kwa wadau wote mnaotaka kwenda kudai haki yenu..Ni kweli mna sababu zote za msingi kutokana na ripoti ya tume kuwa ya kutokuridhisha..mimi binafsi sikuwahi kuwaza kama majibu yanaweza kuwa hivyo..kama ni ishu ya upendeleo hoja ni je wote walipendelewa..mbona kamati imefanya general na sio specific conclusion..natoa mapendekezo yafuatayo..1.Msiandamane mana mna dai nafasi ya kuingia jeshi la uhamiaji hivyo tayari mtakuwa mmekiuka taratibu za kiuaksari na mtaonekana hajui sheria hivyo mnaweza kupoteza haki kwa njia unayoidai hiyo haki..2..Tafuteni mwanasheria(wakili awaandalie barua ya madai yenu iyakayoeleza kutokiridhika na ripoti ya tume..huyu atakuwa muakilishi wenu..3.tafuteni muandishi wa habari atakaye publish hii habari ili iwashtuw na wengine..na mwisho ni kwamba fanyeni hili jambo haraka iwezekanavyo kabla nafasi hazijatangazwa upya ili mpate considaration mapema...NB.HAKUNA ALIYEWAHI KUSHINDANA NA HAKI AKASHINDWA..YEYOTE ALIYEWADHULUMU WENGINE HAKI YAO ALISHINDWA..

ushauri wako umekaa vizuri sana, tena ni wa kisomi. i concur with u na ningewaambia kuwa ni bora waufuate huu ushauri pamoja na wa Man Tindwa
 
USISEME HAIWEZEKANI WAKATI HUJAJARIBU...USISEME UMENYIMWA WAKATI HUJAOMBA..PENYE NIA PANA NJIA...napenda kutoa ushauri wangu kwa wadau wote mnaotaka kwenda kudai haki yenu..Ni kweli mna sababu zote za msingi kutokana na ripoti ya tume kuwa ya kutokuridhisha..mimi binafsi sikuwahi kuwaza kama majibu yanaweza kuwa hivyo..kama ni ishu ya upendeleo hoja ni je wote walipendelewa..mbona kamati imefanya general na sio specific conclusion..natoa mapendekezo yafuatayo..1.Msiandamane mana mna dai nafasi ya kuingia jeshi la uhamiaji hivyo tayari mtakuwa mmekiuka taratibu za kiuaksari na mtaonekana hajui sheria hivyo mnaweza kupoteza haki kwa njia unayoidai hiyo haki..2..Tafuteni mwanasheria(wakili awaandalie barua ya madai yenu iyakayoeleza kutokiridhika na ripoti ya tume..huyu atakuwa muakilishi wenu..3.tafuteni muandishi wa habari atakaye publish hii habari ili iwashtuw na wengine..na mwisho ni kwamba fanyeni hili jambo haraka iwezekanavyo kabla nafasi hazijatangazwa upya ili mpate considaration mapema...NB.HAKUNA ALIYEWAHI KUSHINDANA NA HAKI AKASHINDWA..YEYOTE ALIYEWADHULUMU WENGINE HAKI YAO ALISHINDWA..
nafikiri hili liangaliwe..
 
kila kitu mnalalamika sasa mlitaka hiyo tume ifanye nini???
Sizani kama inaweza kufanya maamuzi kila mmoja akaridhika.
 
ok mjitahidi ila muwe makini simnajua PM alishasema PIGA TUUUUUUUU
 
Hii nchi haitambui haki ya MTU mmoja mmoja, kwan inashindikana kuchomoa alokosea na kumweka anaestahil? wameona kuna watu wanaalama za Juu walshndwa kuwaweka kwa kua wanavigezo! Kurudia mchakato ni kutumia fedha vibaya ambazo zingeweza kufanya vitu vya maendeleo! Me nipo pamoja na wote mlopata kwa haki ila tusiandamane bal tuwasilishe malalamiko yetu kwa maandish na kusainiwa na kila anayehc anahaki, pia hii is hu ipelekwe kwenye vyombo vya habari, niliumia sana niliposoma kwenye baadh ya magazeti kuwa nimefukuzwa Kazi balaa gan hil Kazi ya kwanza kabla cjarport nimeshafukuzwa kwa kosa la tabaka fulani. jamani MNYONGE MNYONGENI ILA HAKI YAKE MPENI ( Tupo pamoja wapendwa)
 
Mna hamu ya kupigwa nyie.
Chadema wameshindwa kuandamana nyie ndo muandamane,
Wanafunzi hawajapewa hela zao hawajaandamana wewe ndo uandamane.
Kama umekosa kazi umekosa tu
Kama wewe ni kunguru basi acha kina mwewe wafanye yao!
 
Nadhani kutakuwa na njia mbadala ya maandamano
 
Mimi nadhani kabla ya kuandamana mkae chini muanze kutuma muwakilishi, ikishindikana fuateni taratibu za maandamano ya amani. Nawatakia kila la kheri

@ prakatatumba Nimezitambua Hekima zako

Ujumbe wa signature yangu unakufaa kabisa
 
@ prakatatumba: Hekima zako
Ujumbe wa signature yangu unakufaa kabisa
 
Hii nchi haitambui haki ya MTU mmoja mmoja, kwan inashindikana kuchomoa alokosea na kumweka anaestahil? wameona kuna watu wanaalama za Juu walshndwa kuwaweka kwa kua wanavigezo! Kurudia mchakato ni kutumia fedha vibaya ambazo zingeweza kufanya vitu vya maendeleo! Me nipo pamoja na wote mlopata kwa haki ila tusiandamane bal tuwasilishe malalamiko yetu kwa maandish na kusainiwa na kila anayehc anahaki, pia hii is hu ipelekwe kwenye vyombo vya habari, niliumia sana niliposoma kwenye baadh ya magazeti kuwa nimefukuzwa Kazi balaa gan hil Kazi ya kwanza kabla cjarport nimeshafukuzwa kwa kosa la tabaka fulani. jamani MNYONGE MNYONGENI ILA HAKI YAKE MPENI ( Tupo pamoja wapendwa)

....#MARGRETH , unachokisema kipo DHAHIRI,.. tuendelee kuwa pamoja tayari tumempata MWANASHERIA nguli anasubiri mwitikio wenu mapema kabla hawajatangaza upya hizo NAFASI... Uzembe WAFANYE wao, HUKUMU tubebeshwe hadi TULIOPITA kihalali...
 
....UDHAIFU wa kuogopa KUWAADABISHA wahusika waliokutwa na HATIA ndiyo UMEFANYA hata waliopita KIHALALI kunyongwa kabisa kimya kimya..
 
Katibu mkuu jiandae tunakuja huko wizarani..pitia vizuri mafile yote...wale waliopendelewa tupa kule..
 
Naomba taarifa za huyo mwanasheria jamani tuweze kuongea nae vizuri nq atupe utayari wake katika hili..
 
nakumbuka kwenye interview niliulizwa ''workers ethics'' na moja a worker's ethics ni kuwa accountable for his/her actions, sasa mbona tujaona accountability kwenye hili, au inaweekana waliogopa kuaweka majina bayana walochakachua wkaamuakuadibu wote hadi wenye vigezo, uwazi ndo utaleta mabadiliko katika jamii yetu ya Kitanzania kuficha ficha waovu ni kuendelea kulea madudu kwenye kwenye sector mbalimbali, uchakachuzi hautaisha ng'o kama serikal haitokua wazi kwenye kila jambo, hili jambo lina public interest let us know nan na nan wamechakachua ooooh usail hakufuta utaratibu, taja watu walovunja utaratibu,c kuhukumu wasio na hatia.......hii ni zama ya kukwel na uwaz, kama usaili utaanza upya mimi nataka supervisor waje externals kwan kupitia hili, sina imani na idara
 
Hamjaajiliwa mnaandamana je wakiwaajir mtakuwa waadilifu kweli yani maandamano c suluhisho tafteni mbadala mtavunjwa viono mkose ata ajira taasisi nyingine za usalama
 
Back
Top Bottom