Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,369
- 8,412
Sasa si watakufa njaa jaman 😁
View: https://x.com/sentdefender/status/2010107159321960602
Nimependa maandamano ya Watu wa Iran, Usiku wanaandamana wanachoma mali za serikali, vituo vya Vikosi vya Waislam (IRGC na Basij) alafu saa 12 asubuhi wanarudi kulala
Tuombee wajikomboe tu maana lile gaidi Ayatollah litawachinja wote jaman
View: https://x.com/NOELreports/status/2010114843118809113/mediaViewer?mode=profile¤tTweet=2010114843118809113¤tTweetUser=NOELreports
Wao wanatoka usiku kuchoma moto ofisi za Serikali
safari hii mtanyooshwa tu Ayatollah lazima afe au akimbie nchi Wananchi hawataki!!!Usiku mchana unashabikia mashoga wenzako wa kiyahudi . Labda biblia yako ya Queen James Version ndivyo ilivyoandika .
Hulali unashabikia mashoga, angalia wanaanza kujinyia surualiniMwandishi wa habari wa Channel 13 wa Israeli Moriah Asraf:
"Tahadhari kubwa usiku wa leo nchini Israeli kufuatia picha kutoka Iran na vitisho kutoka kwa Rais Trump".
##
Israeli inachukua vitisho kwa uzito na imefungwa na kubeba mizigo 100 na iko tayari kujitetea/kushambulia inapohitajika. Ikiwa Utawala wa Kiislamu utafanya uamuzi wa kushambulia - nina uhakika tutajua vizuri kabla halijatokea na kujizuia.
safari hii mtanyooshwa tu Ayatollah lazima afe au akimbie nchi Wananchi hawataki!!!
Tutaimba halleluya kama si mjaluo ni mluhyaEti kujinyia!!! Safari hii mtaimba tu Halleluya!!
Scenario hiyo hiyo ya Ayatolah ihamishie hapa nyumbani Tz kwa samuya, je kama kweli anapendwa na kukubalika kwann wananchi wakubali kuandamana?!.Iwaarabu na ndugu zao waa
Waarabu na ndugu zao waajemi bado wana safari ndugu sana kuwashinda Wayahudi.
Hapo mtawasingizia na wayahudi Bure tu wakati Ayatollah na genge lake wamewekeza nguvu zote kutaka kuiangamiza Israel wakati Wananchi wao wanashinda Mihogo!!!
Kupigana na wayahudi unatakiwa uji toe ufahamu kwanza kama walivyofanya Hamas,Hezbollah na Wa Houth,
Baadaye sasa IDF inakuwa kumalizia kazi kwa kuwafyelea mbali kama ilivyo fan ya kwa magaidi Uchwara kama hao.
Sasa hivi msikilize Ayatolah akilalamika ovyo ovyo kuhusu Marekani na Israel sasa jiulize kama yeye Anapendwa kwa nini Wananchi wake hawataki ? AYATOLLAH MUST GO!!!
Unanilazimisha? Ujinga huu wapelekee Wafuga Midevu na Majini wenzako mtaelewana vizuri!!!
Acha ujinga na upumbavu wako hili si jukwaa la dini!! Hili ni jukwaa la Kimataifa!!!
Kwenu nimeandika jukwaa hili ni la dini ??Tumia akili zako vizuri hili jukwaa si la dini!!
Uzi huu hauhusiani na mambo ya dini hivyo funga Bakunin lako!!Kwenu nimeandika jukwaa hili ni la dini ??
Nimekuwekea biblia yako si ufurahi tu na aliyekuandikia alikuwa akiliwa boga
View attachment 3528450
Uzi huu hauhusiani na mambo ya dini hivyo funga Bakunin lako!!Kwenu nimeandika jukwaa hili ni la dini ??
Nimekuwekea biblia yako si ufurahi tu na aliyekuandikia alikuwa akiliwa boga
View attachment 3528450
Uzi huu hauhusiani na mambo ya dini hivyo funga Bakunin lako!!
Uzi huu hauhusiani na mambo ya dini hivyo funga Bakuli lako!!Kwenu nimeandika jukwaa hili ni la dini ??
Nimekuwekea biblia yako si ufurahi tu na aliyekuandikia alikuwa akiliwa boga
View attachment 3528450
Venezuela ni failed, maana utawala ni ule ule tu tofauti ni makamu ndio kawa rais.Huko Syria,Afghan,Iraq mission zilikuwa failed! What about Taiwan,UAE and now Venezuela, Khamenei asipokaza GAME OVER. Everything is bussiness buda CAPITALISM