Maandamano D25: Fuatilia taarifa, picha na video

Maandamano D25: Fuatilia taarifa, picha na video

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,656
Updates za maandamano yasiyo na kikomo Tanzania.

Twende pamoja

Mbagala tarehe 25 Desemba 2025 saa 1 jioni

Kawe tarehe 25 Desemba 2025 saa 2 usiku

Kahama jioni ya tarehe 25 Desemba 2025

Maandamano Tegeta 25 Desemba 2025 saa 2. Usiku

Taarifa za maeneo mengine ya nchi zinafuatiliwa na zitapostiwa hapa
 
Updates za maandamano yasiyo na kikomo Tanzania.

Twende pamoja

View attachment 3520635
Mbagala tarehe 25 Desemba 2025 saa 1 jioni

View attachment 3520636
Kawe tarehe 25 Desemba 2025 saa 2 usiku

Taarifa za maeneo mengine ya nchi zinafuatiliwa na zitapostiwa hapa
Waandamanaji wa tanzania hawajui hata cha kufanya ...kila maandamano ni rahisi kukamushwa kwa sababu hawatamki kitu chochote chenye kuashiria maandamano ya siku husika ....hakuna mabango yenye tarehe wala vipaza sauti
 
Usisahau mazingira magumu sana wanayokutana nayo waandamanaji.

Huko kuandamana pekee kwa aina yoyote ile na mahali popote ni ujasiri mkubwa sana.

Hayo yote unayoyazungumzia wewe, hattua hiyo itafikiwa wakati mwafaka.

Sasa hivi ni kuandamana kwa namna yoyote inayowezekana kuonyesha nia thabiti ya kuleta ukombozi ndani ya taifa letu.
 
Back
Top Bottom