Jestina, thank you so much for your valuable insight,yes kama walivyokuambia...third world,vifo ni vingi kwa mama na mtoto so sali sana
kingine miezi ya mwanzo mtoto halali through the night,mie tulikuwa tunapokezana masaa manne manne each ili upate muda wa kulala kukesha sio mchezo,kulea mimba si kazi kazi kulea mwana ila ukimuona anakua raha kweli,
Wapendwa wangu MMU,
Jukwaa hili lilikuwa manufaa sana kwangu wakati wa kujiandaa kuingia kwenye ndoa mpaka sasa nikiwa kwenye ndoa na furaha zote....those practical experiences you shared are of great value
Leo nakuja kivingine....Ni "matokeo" ya ndoa yangu
Mungu amenijaalia na mke wangu ni mjamzito (a.k.k.k.a. Mama Kijacho) sasa akiwa anaelekea miezi 6..... and you know what?..... I can't wait to be called "Daddy" for the first time..looo
And I'm still wondering, ni mambo gani muhimu ya kujiandaa kwa ajili ya kupokea kichanga? Japo imebaki miezi kama mitatu hivi lakini natamani nifanye maandalizi yote muhimu mapema wakati wa ujio wake nisitetereke......Huku namlea vizuri akiwwa tumboni, huku maandalizi ya ujio wake yakiendelea, itakuwa vizuri na naamini Mungu atamleta kwa afya yooooote
Nawakaribisha na naamini ushauri wenu utanifaa sio mimi tu bali na wengine Jukwaani ambao wanasubiri kama mimi
Kama mkeo ni kibonge jiandae pia kuwa na roho ya kumvulia umbo lake baada ya kujifungua.Maana hapo ndipo nyumba ndogo zinapoanzia.
Hahahaaaaa, dada white umenifanya nicheke sana,
Mke wangu siyo chibonge, ni chipotable fulani hivi....kadogo dogo kama huyo kwenye avatar yako
Hii ni mapema mno kufanya manunuzi
them gud days!Yaani the way I'm crazy about it, kabla ya kwenda Job lazima niweke mkono juu ya kitumbo cha wife na kusema angalau maneneo mawili matatu kwa Mungu anilindie na kumkamilisha mwanangu
Nikirudi the same thing mpaka sometimes wifey akaanza kunialaumu nampendelea kabebi namsahahu yeye....Ila nimejirekebisha mama usije ukani-slap kwa kusahau mama kwa kijacho
Tutakukaribishe kwenye jiji la Mbaraka Mwinshehe uje ushuhudie mjukuu