Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,207
- 4,703
Mwaka 2025 kiuhalisia sio mbali sana.
Uchaguzi wa Viongozi kwenye mfumo wa kisiasa nimchakato wa kudumu unaohitaji maandalizi ya kina.
Najiuliza wenzetu wa upande wa 2 wamejiandaaje na awamu ya Uchaguzi ujao?
Nazungumzia aina ya Wagombea kuanzia ngazi ya Udiwani hadi Urais?
Wamejipangaje ili kuepuka aibu nyingine ya kipigo kikubwa cha kisiasa kama kile cha Oktoba 2020?
Ni msaada wa aina gani wanaohitaji?
Wamejifunza nini kupitia chaguzi zilizopita?
Nakaribisha maoni yenu.