Maandalizi na mikakati ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,692
Mwaka 2025 kiuhalisia sio mbali sana.

Uchaguzi wa Viongozi kwenye mfumo wa kisiasa nimchakato wa kudumu unaohitaji maandalizi ya kina.

Najiuliza wenzetu wa upande wa 2 wamejiandaaje na awamu ya Uchaguzi ujao?

Nazungumzia aina ya Wagombea kuanzia ngazi ya Udiwani hadi Urais?

Wamejipangaje ili kuepuka aibu nyingine ya kipigo kikubwa cha kisiasa kama kile cha Oktoba 2020?

Ni msaada wa aina gani wanaohitaji?

Wamejifunza nini kupitia chaguzi zilizopita?

Nakaribisha maoni yenu.
 
Alafu 2025 bado mgombea atakuwa yule yule.

Maana tuna mpango wa kubadilisha katiba.
 
".....Kama hukujifunza lolote katika kosa la kwanza ni lazima utarudia kosa lile lile...."by Carl Peters
Mshale wa sekunde kwenye saa tik, tok, tik...2025 hii hapa! Hata kuandaa mawakala wa kusimamia masanduku ya kura tu wameshindwa! hata kujaribu kuanzisha kikosi maalum cha mawakala ambao watapikwa na kulishwa viapo kwa miaka 4 wameshindwa?
 
Ndio inahitajika mikakati kuhakikisha 2025 huo upokaji haurudiwi tena.

Labda kuingiza vijana msituni ila sio kwa box la kura. Kumbuka huo uchaguzi wanaounajisi ni vyombo vya dola kutokana na madaraka ya urais yanayotumika vibaya.
 
Kwani safari hii mliwagaragaza au Magufuli aliagiza ccm watangazwe washindi?
Haaaaaa haaaaa. Mligaragazwaaa, hadi mkateneza maigizo ya kutengeneza kura feki ilimtie doa uchaguzi kukwepa aibu yakugaragazawa. Halafu hivyo vikaratasi ndo mko mnatembeza kwenye ofisi za mabeberu, ilimuhurumiwe na beberu. Halafu beberu anawatia moyo kwa kutoa tumatamko kiduchu sipoleta madhala kwa taifa ili nyie mjione mumesikilizwa
 
Mwaka 2025 kiuhalisia sio mbali sana.

Uchaguzi wa Viongozi kwenye mfumo wa kisiasa nimchakato wa kudumu unaohitaji maandalizi ya kina.

Najiuliza wenzetu wa upande wa 2 wamejiandaaje na awamu ya Uchaguzi ujao?

Nazungumzia aina ya Wagombea kuanzia ngazi ya Udiwani hadi Urais?

Wamejipangaje ili kuepuka aibu nyingine ya kipigo kikubwa cha kisiasa kama kile cha Oktoba 2020?

Ni msaada wa aina gani wanaohitaji?

Wamejifunza nini kupitia chaguzi zilizopita?

Nakaribisha maoni yenu.
Mikakati ya viongozi wetu ni kupambana na Magufuli, watamaliza miaka minne ijayo kuonyesha Magufuli ni dikteta, mtekaji, muuaji, mtesaji... wanasahau anayekuja 2025 sio Magufuli.
 
Haaaaaa haaaaa. Mligaragazwaaa, hadi mkateneza maigizo ya kutengeneza kura feki ilimtie doa uchaguzi kukwepa aibu yakugaragazawa. Halafu hivyo vikaratasi ndo mko mnatembeza kwenye ofisi za mabeberu, ilimuhurumiwe na beberu. Halafu beberu anawatia moyo kwa kutoa tumatamko kiduchu sipoleta madhala kwa taifa ili nyie mjione mumesikilizwa
Magufuli hajawahi kushinda kwa kura zaidi ya figisu, na sio kuwa hajawahi kushinda, bali hatakaa ashinde kwa uchaguzi wowote kihalali.
 
Mikakati ya viongozi wetu ni kupambana na Magufuli, watamaliza miaka minne ijayo kuonyesha Magufuli ni dikteta, mtekaji, muuaji, mtesaji... wanasahau anayekuja 2025 sio Magufuli.

Ni kweli wanapambana na Magufuli maana ccm haipo ila yuko Magufuli. Huenda ccm ikarejea Magufuli akitoka madarakani.
 
Back
Top Bottom