Maandalizi na mikakati ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025

Magufuli hajawahi kushinda kwa kura zaidi ya figisu, na sio kuwa hajawahi kushinda, bali hatakaa ashinde kwa uchaguzi wowote kihalali.
Sasa toka lini mshindwa kama nyie ufipani na akina trampu mkakubali kugaragazwaaa?? Kila mshindwa lazima asikubali kugaragazwaaa. Trumpu amelazimishaaa mwishowe mshindi akatangazwaa na tayariii mshindi kasha apishwaaaa.
 
Narudia tena, Magufuli hajawahi kushinda uchaguzi wowote kihalali, na hatakaa ashinde fullstop.
 
Mataga yatabaki kuwa mataga tu
Mwaka 2025 kiuhalisia sio mbali sana.

Uchaguzi wa Viongozi kwenye mfumo wa kisiasa nimchakato wa kudumu unaohitaji maandalizi ya kina.

Najiuliza wenzetu wa upande wa 2 wamejiandaaje na awamu ya Uchaguzi ujao?

Nazungumzia aina ya Wagombea kuanzia ngazi ya Udiwani hadi Urais?

Wamejipangaje ili kuepuka aibu nyingine ya kipigo kikubwa cha kisiasa kama kile cha Oktoba 2020?

Ni msaada wa aina gani wanaohitaji?

Wamejifunza nini kupitia chaguzi zilizopita?

Nakaribisha maoni yenu.
 
".....Kama hukujifunza lolote katika kosa la kwanza ni lazima utarudia kosa lile lile...."by Carl Peters
Mshale wa sekunde kwenye saa tik, tok, tik...2025 hii hapa! Hata kuandaa mawakala wa kusimamia masanduku ya kura tu wameshindwa! hata kujaribu kuanzisha kikosi maalum cha mawakala ambao watapikwa na kulishwa viapo kwa miaka 4 wameshindwa?
Haya usemayo yatafua dafu mbele ya Dola iliyoamua nini kitokee? Yatafua dafu km uma bado haujaiva? Kushika dola dhidi ya chama tawala kunahitaji mambo mengi zaidi ya hayo. Haya yako ni maandalizi saidizi kama uichambua vyema chaguzi za Afrika. Pia lazima tufahamu kufikia huko ni mchakato usiohitaji kukata tamaa
 
Back
Top Bottom