Maandalizi na mikakati ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025

T

Tulizeni mshono kwanza, kwani unauona upinzani kwa sasa?
Wamebaki wati wa kuogopabkuuwawa ila wakiwa kwenye nafasi za ulaji hawkimbii nchi ila wakikosa wanakimbia kufa.
Sasa mbona mataga mnahara damu kama upinzani umefutika?
 
Mwaka 2025 kiuhalisia sio mbali sana.

Uchaguzi wa Viongozi kwenye mfumo wa kisiasa nimchakato wa kudumu unaohitaji maandalizi ya kina.

Najiuliza wenzetu wa upande wa 2 wamejiandaaje na awamu ya Uchaguzi ujao?

Nazungumzia aina ya Wagombea kuanzia ngazi ya Udiwani hadi Urais?

Wamejipangaje ili kuepuka aibu nyingine ya kipigo kikubwa cha kisiasa kama kile cha Oktoba 2020?

Ni msaada wa aina gani wanaohitaji?

Wamejifunza nini kupitia chaguzi zilizopita?

Nakaribisha maoni yenu.
Mimba ya utotoni hiyo inakusumbua
 
Ni kweli wanapambana na Magufuli maana ccm haipo ila yuko Magufuli. Huenda ccm ikarejea Magufuli akitoka madarakani.
Na ikifika 2025, ndipo wataanza kukurupuka kutafuta wa kupambana wagombea wa CCM. Hawana sera wala mikakati. Ni sawa na askari anayemwaga risasi kumpiga adui asiemuona. Akija muona risasi zote zimeisha anachinjwa kama kuku.
 
Back
Top Bottom