Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,728
- 172,008
- Thread starter
-
- #141
Mwisho wa siku kosa ni kosa tu haijalishi source yake ni wapi /nani /niniPale ambapo umbea na ufukunyuku inapokuwa sehemu ya maisha yako bila kujali nani anateremsha huo umbea basi mwanaume hawezi kuendekeza upuuzi wa namna hiyo. There is a lot more at the stake.
It's until then when you start to know your jurisdiction and limits is when you start to use your brain
Khaaaaa Heaven Sent njoo huku umsilize huyu dada, mi hata simwelewi hata kidogoyaani ushike simu yangu alafu uniulize maswali!!!! jiulize na ujijibu mwenyewe, kwani simu yako?
Pole dada, inakuwaje au haujishughulishi?Hawajaniko....za
my lovely kaka vingine hutakiwi kuona jamani!!Khaaaaa Heaven Sent njoo huku umsilize huyu dada, mi hata simwelewi hata kidogo
Hahaaaaa akyananiUmesema kweli....na Hiyo inatokea Mara nyingi tuu....kwangu siwezi kukununia ila hii ya kukutafutia kesi nkugeuzie kibao IPO....
Yani kukubali na kuomba msamaha hili jambo nafsi imeshashindwaa kabisaa...siwezi
Ila kumoyo nitakuwa najutia inkase nimekosea....na ku work out for it ili isijirudie....
Miss you kiongozi....Khaaaaa Heaven Sent njoo huku umsilize huyu dada, mi hata simwelewi hata kidogo
Khee.... Huo ubabe sasa....kwanini usijibu???? .....yaani ushike simu yangu alafu uniulize maswali!!!! jiulize na ujijibu mwenyewe, kwani simu yako?
Mkuu hii kwa upande wako vipi??Hahaaaaa akyanani
Eeeh baba nakuaga nimenyooka tu kama kambalePole dada, inakuwaje au haujishughulishi?
Hahaaa mkuu hili neno 'samahani dear' linakukwama naona, hapa nacheka tu akyanani!!Na sijui kwanini hivi dah....
Nlichokuja kuelewa Hamna raha kwa mwanamke kama akiombwa msamaha na mwanaume...!
Sijui kwanini....
Anyway hivi Hamna namna we can solve bila kuomba msamaha????
endelea hivyo hivyo, watu sikuhizi wanatupia kufurahisha nafsi zao tu na kusepa.Eeeh baba nakuaga nimenyooka tu kama kambale
sasa maswali unaniuliza mimi na simu umeshika wewe? au msg ulizosoma haujazielewa? km haujaelewa subiri chats zitakazoendelea labda zitakuwa na majibu unayoyataka, ila mimi sitaki maswali yaliyosababishwa na kiranga chako mwenyewe, mi mwenyewe nina maswali yangu kibao juu ya maisha sijayajibu.Khee.... Huo ubabe sasa....kwanini usijibu???? .....
Mkuu hii kwa upande wako vipi??
Mkuu....kuna haya madogo madogo labda ya Bahati mbaya unaweza sema samahanHahaaa mkuu hili neno 'samahani dear' linakukwama naona, hapa nacheka tu akyanani!!
cc Heaven Sent ,atoto
sasa bwana shemeji ushike simu yangu na maswali uniulize!! km kuna kitu haujaelewa ni kwasababu sio simu yako,case closed.
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]sasa maswali unaniuliza mimi na simu umeshika wewe? au msg ulizosoma haujazielewa? km haujaelewa subiri chats zitakazoendelea labda zitakuwa na majibu unayoyataka, ila mimi sitaki maswali yaliyosababishwa na kiranga chako mwenyewe, mi mwenyewe nina maswali yangu kibao juu ya maisha sijayajibu.
khaaaah!! kwakweli mie huwa nasema tu "basi yaishe" hiyo habari ya kuombana msamaha hapana aisee, labda mama yangu.Hahaaa mkuu hili neno 'samahani dear' linakukwama naona, hapa nacheka tu akyanani!!
cc Heaven Sent ,atoto
Daah hii kweli plan BMkuu mie nimpole au niseme najitahidi kua mke mwema lakini usinichokonoe,kwa ufupi nikipenda napenda kweli na nikisema nimeshakushiba ndio basi na sijuti manake daima naamini kila kitu kina mwisho na usilazimishe kupenda usipopendwa,daima nnapokaa na mume hua nakua na plan B kuhusu wanangu,wanaume wengi huanza vituko wakishaona
umeshakua na watoto sasa atakusugua roho anajua roho yako itauma kumuachia mwenzio nyumba au akulele watoto wako
Kwamimi nilivyo nakuachia nyumba wanangu tuu ndio nachukua anaekuja aanze,na ukiwa kama baba wa watoto usitegemee
ntakutafuta eti nataka Ada ya watoto au chochote wala simwambi njoo uone watoto,kila akiwa haki kwangu mie furaha..
Nilichofanya Kazini kwangu watoto wanalipiwa school fees sasa anayolipa mr hua naikusanya since analipa mara 2 kwa mwaka
nachanganya na zangu nimezijengea...
Yeskhaaaah!! kwakweli mie huwa nasema tu "basi yaishe" hiyo habari ya kuombana msamaha hapana aisee, labda mama yangu.