Elias mwasibu
Member
- Dec 19, 2016
- 83
- 29
Hili neno [HASHTAG]#shoga[/HASHTAG] linaboa huwa nini maana yake haswaa wazee wa kamusi na visingeli.
Hapo ina apply kwa wanawake...Kwa kamusi ya kiswahili maana yake rafiki, au swahiba mliyeshibana hayo mengine waachie wanaojua kuelezea
Shoga kwa maana ya Rafiki inatumika kwa wanawake tuu...Je unaweza kuita mtu wa jinsia yoyote au ni upande wa kiume pekee
MTU ambaye ana hisia za kike sio hana,ukisema hana hisia za kike kumbe gentlemanshoga
1.Mtu ambaye hana hisia za kike
2.Rafiki uliyeshibana naye kiurafiki (hasa hutumiwa na wanawake)