Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,123
Heri ya mei mosi!
Leo nilikuwa nataka kumquote mtu flani kwenye comment yake, lakini nilishazoea kubonyeza sehemu ya Reply lakini nikajikuta nimebonyeza sehemu ya Quote ukatokea ujumbe huu;
Lakini hakuna kilichotokea nikarudia pabonyeza tena, pakaleta ujumbe huu;
Kwa nilivyoelewa ujumbe wa -quote ina maana nilimlimit asiweze kuwa quoted na mtu mwingine na ujumbe wa +quote niliruhusu na wengine waiquote comment yake.
Hebu watabe wa hii JF mnielekeze ninacho amini ndio hicho au nini maana ya hizo jumbe!.

MESSAGE ADDED TO MULTI-QUOTE (-quote)
Lakini hakuna kilichotokea nikarudia pabonyeza tena, pakaleta ujumbe huu;
MESSAGE REMOVED FROM MULTI-QUOTE (+quote)
Ikabidi nibonyeze Reply na nikaweza quote comment ya jamaa na kumjibu vizuri tu!.