Maana ya baadhi ya maneno kwa kiswahili

Phrasal Verbs

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
246
262
Naomba kufahamishwa maneno yafuatayo yanayotumika kumu"address" viongozi mbalimbali wa kiimla na wakisiasa.
  • Emperor na empress
  • Chief
  • Prince na princess
  • Crown prince na crown princess
  • His/her majesty
  • His/her highness
  • Duke
  • His/her worship
  • His/her Excellency
Na mengineyo mengi. Unaweza kuorodhesha na mengine ambayo sijayataja na utupe maana yake.
 
Prince ni mtoto wa kiume wa mfalme au malkia, na princess ni mtoto wa kike wa mfalme au malkia
Crown Prince ni mtoto wa kiume wa mfalme au malkia anayetegemea kurithi ufalme huo, hii ni tofauti na Prince ambaye ni mtoto yeyote wa kifalme sio lazima awe mrithi wa ufalme, ni sawa pia kwa Crown Princess.
His/her Majesty ina tumika unapo muaddress mfalme au malkia
His/Her worship inatumika unapo muaddress kiongzi wa dini
His/her excellence inatumika kum address Rais
 
Naomba kufahamishwa maneno yafuatayo yanayotumika kumu"address" viongozi mbalimbali wa kiimla na wakisiasa.
  • Emperor na empress - kiongozi wa himaya ya kifalme emperor -mwanaume na empress- meanamke
  • Chief- kiongozi wa kabila katika eneo ambalo ni dogo ikilinganishwa na ufalme
  • Prince na princess- watoto wafamilia za kifalme. Prince- wakiume na princess-wakike
  • Crown prince na crown princess- watoto wafamilia za kifalme wanaotazamiwa kuchukua nafasi za kiutawala iwapo mfalme atakufa au kuachia madaraka
  • His/her majesty- Viongozi wakuu wa utawala His-wakiume na Her- wakike( mfalme / malkia)
  • His/her highness ( watoto na wanafamilia wakifalme nje ya mfalme/ malkia ambae nikiongozi mkuu.
  • Duke- kiongozi anaeshikilia nafasi yajuu ya kiutawala katika eneo kubwa zaidi ya ufalme hasa katika utawala wa ulaya
  • His/her worship- Viongozi wajuu wakiutawala kama mameya katika mfumo wasasa
  • His/her Excellency- mtu mwenye nafasi kubwa kiutawala kama balozi
Na mengineyo mengi. Unaweza kuorodhesha na mengine ambayo sijayataja na utupe maana yake.
 
Prince ni mtoto wa kiume wa mfalme au malkia, na princess ni mtoto wa kike wa mfalme au malkia
Crown Prince ni mtoto wa kiume wa mfalme au malkia anayetegemea kurithi ufalme huo, hii ni tofauti na Prince ambaye ni mtoto yeyote wa kifalme sio lazima awe mrithi wa ufalme, ni sawa pia kwa Crown Princess.
His/her Majesty ina tumika unapo muaddress mfalme au malkia
His/Her worship inatumika unapo muaddress kiongzi wa dini
His/her excellence inatumika kum address Rais
Hapo kwa kiongozi wa dini nadhani ni his/her Lordship.
 
Back
Top Bottom