Mwanamfalme wa Uingereza Harry na mke wake Meghan kutotumia tena vyeo vyao vya kifalme wala kupokea ufadhili wowote kutoka kwa umma

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
LONDON, UINGEREZA

MWANAMFALME Harry na mke wake Meghan hawatatumia tena vyeo vyao vya uanaufalme na kupokea ufadhili wowote wa umma kwa ajili ya shughuli za kifalme.

Haya ni kwa mujibu wa taarifa kutoka katika kasri ya Buckingham ambapo wanandoa hao hawatamwakilisha tena Malkia.

Mwanamfalme Harry na mkewe wanatarajia kulipa fidia ya paundi milioni 2.4 ya pesa ambayo wananchi walitoa kwa ajili ya kujenga makazi yao, ambayo itasalia bado kuwa nyumba ya familia ya kifalme..Utaratibu mpya utaanza mara moja baada ya msimu wa baridi mwaka huu, kasri ilieleza .

Maelezo hayo yalitolewa baada ya Malkia kufanya mazungumzo na wapenzi hao siku ya jumatatu kuhusu mustakabari wao juu ya maisha yao ya baadae ,baada ya kutangaza kuwa wanataka kuacha shughuli za kifalme na kugawa muda ambao watakaa Uingereza na Canada.


==========

Prince Harry and Meghan will no longer use their HRH titles and will not receive public funds for royal duties, Buckingham Palace has announced.

The couple will also no longer formally represent the Queen.

The Duke and Duchess of Sussex intend to repay £2.4m of taxpayer money for the refurbishment of Frogmore Cottage, which will remain their UK family home, the statement added.

The new arrangement comes into effect in spring this year, the palace said.

The statement comes after senior royals held talks on Monday about the future role for the couple, who this month announced they wanted to "step back" as senior royals.

'Intense scrutiny'

The Queen said following "many months of conversations and more recent discussions" she was "pleased that together we have found a constructive and supportive way forward for my grandson and his family".

"Harry, Meghan and Archie will always be much loved members of my family," the statement continued.

"I recognise the challenges they have experienced as a result of intense scrutiny over the last two years and support their wish for a more independent life.

"I want to thank them for all their dedicated work across this country, the Commonwealth and beyond, and am particularly proud of how Meghan has so quickly become one of the family.

p080skpl.jpg



Daniela Relph on why this is a key moment for the Royal Family

"It is my whole family's hope that today's agreement allows them to start building a happy and peaceful new life."

Buckingham Palace said the royal couple understood they were required to step back from royal duties, including official military appointments.

The palace added that they would continue to maintain their private patronages and associations.

"While they can no longer formally represent the Queen, the Sussexes have made clear that everything they do will continue to uphold the values of Her Majesty," the statement added.

"The Sussexes will not use their HRH titles as they are no longer working members of the Royal Family."

HRH, an abbreviation of His/Her Royal Highness, is used as part of the title of some members of the royal family, including prince or princess.

The palace said it would not comment on what security arrangements would be in place for the royal couple.

Their new website, sussexroyal.com, has been updated following the Queen's statement.

"In line with the statement by Her Majesty The Queen, information on the roles and work of the Duke and Duchess of Sussex will be updated on this website in due course," it said.

Prince Harry

Yui Mok/PA WirePrince Harry this week hosted the Rugby League World Cup draw at Buckingham Palace

The new post also invited visitors to the website to explore the site in the meantime to see the current works of "Their Royal Highnesses".

The announcement marks the conclusion of talks about the couple's future with senior members of the family and royal aides.

Earlier this month, they said they wanted a "progressive new role" within the institution, where they would be financially independent and divide their time between the UK and North America.

Last year, they both spoke about the difficulties of royal life and media attention.

The duke said he feared his wife would fall victim to "the same powerful forces" that led to his mother's death.

Source: BBC

1579408224669.jpeg
 
Taarifa rasmi kutoka jumba la kifalme inasema Malikia amewaruhusu rasmi Harry na Meghan pamoja na mtoto wao Archie kujitoa kwenye shughuli za kifalme na kuishi maisha ya kujitegemea.

Kuanzia sasa watatakiwa kuacha kutumia cheo cha HRH (His/Her Royal Highness) na pia hawatapata tena mgao wa pesa kama mwanzo kwa ajili ya shughuli za kifalme.

Pia Malikia amewashukuru kwa kazi walizojitoa kwa moyo wao wote kuzifanya pindi wakiwa wanahudumia vyeo vya Duke & Duchess of Succesex.

bbcnews-20200118-0001.jpeg
 
Tantrum tu za last born, kabla ya ugomvi wao kaka yake alikuwa very protective kwa mdogo wake.

Katika wajukuu zake wote inadaiwa Harry ndio kipenzi cha queen na mtu mpekee ndani ya royal family mwenye utani nae.

Nyumba yenyewe ya UK watakayokuwa wanaishi ipo ndani ya compund za Windsor Castle yaani uwani kwa bibi kabisa.

3B27A0C9-DD9A-46BA-B568-DD5AC30A0DE3.jpeg


Nyumba hiyo bibi aliwapa uwani kwake baada ya kugombana na kaka yake, kabla walikuwa wakiishi majirani na kaka yake.

Watakuwa wanamuacha tu kufanya kile anachotaka kwa sasa lakini kamwe kaka mtu awezi wacha mdogo wake afe njaa akifika huko. Kwanza inadaiwa anajuta hata kugombana nae.
 
Tantrum tu za last born, kabla ya ugomvi wao kaka yake alikuwa very protective kwa mdogo wake, katika wajukuu zake wote inadaiwa Harry ndio kipenzi cha queen na mtu mpekee ndani ya royal mwenye utani nae.

Watakuwa wanamuacha tu kufanya kile anachotaka kwa sasa lakini kamwe kaka mtu awezi wacha mdogo wake afe njaa.
Kumbe kuna ugomvi ulitokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kuna ugomvi ulitokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wana ugomvi na kaka yake zaidi ya mwaka na sababu ya pili kuna too much negativity from the media against Meghan, kitu ambacho Harry anaona ni unfair.

Wamefungua kesi na gazeti moja lillilochapisha message au sijui barua private za Meghan, ajabu baba yake Meghan yupo tayari kwenda mahakamani ku testify against her own daughter na wenyewe aziivi kisa baba akwenda kumgawa kwenye harusi yake.
 
Damu ya kunguni unataka HRH? Ha ha ha.
Hata hiyo HRH title itakuwa wamechagua wao kujivua kwa sababu awataki ionekane wanatumia royal title kujipatia pesa, au watakachofanya kisiusishwe na royal family.

Swala la msingi ni security (huko ndio kwenye gharama) na details azijatoka ina maana bado royals na watakuwa wanaulinzi wa 24 hours ata huko North America.

Ukiwa outcast queen anakuondoa kwenye shughuli za royal na ulinzi unaopewa kama alivyomfanyia mwanawe Prince Andrew, sasa hivi anatakiwa ajifanyie kila kitu mwenyewe royal family wamemkatia kila kitu baada ya kuwatia aibu.

Wakati prince Harry kama wanampa time-out tu anayotaka, huo utaratibu utakaoanza spring ni kwa mwaka tu before review. Akibadili mawazo anaweza rudi kuendelea na shughuli za familia provided he was on good behaviour.
 
Hata hiyo HRH title itakuwa wamechagua wao kujivua kwa sababu awataki ionekane wanatumia royal title kujipatia pesa, au watakachofanya kisiusishwe na royal family.

Swala la msingi ni security (huko ndio kwenye gharama) na details azijatoka ina maana bado royals na watakuwa wanaulinzi wa 24 hours ata huko North America.

Ukiwa outcast queen anakuondoa kwenye shughuli za royal na ulinzi unaopewa kama alivyomfanyia mwanawe Prince Andrew, sasa hivi anatakiwa ajifanyie kila kitu mwenyewe royal family wamemkatia kila kitu baada ya kuwatia aibu.

Wakati prince Harry kama wanampa time-out tu anayotaka, huo utaratibu utakaoanza spring ni kwa mwaka tu before review. Akibadili mawazo anaweza rudi kuendelea na shughuli za familia provided he was on good behaviour.
Hayo sio mapendekezo ya malkia ni sheria ndio inasema hivyo , ukijiondoa kwenye familia ya malkia unatoka na benefits zote....


Ni sawa na ujiondoe chadema au ccm lazima benefits zako pia zifutwe , simple like that ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuambiwa na binti mmoja kutoka oxford kwamba no one cares about queen and stuffs zaidi ni watu wanafanya kama utalii tu kuwaona
Natabiri miaka ijayo wingereza haitakuwa na ufalme au umalkia.Atakuwepo raisi na waziri mkuu.Itakuwa kama ilivotokea kwa Iran,Central Africa republic,Ufaransa,Libya.Hii familia imekumbwa na kashfa nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo sio mapendekezo ya malkia ni sheria ndio inasema hivyo , ukijiondoa kwenye familia ya malkia unatoka na benefits zote....


Ni sawa na ujiondoe chadema au ccm lazima benefits zako pia zifutwe , simple like that ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kilichoamuliwa ndio walichotaka wao.

Wakikutema royals nguzo kuu ni ulinzi kama walivyomfanyia Diana au Andrew sasa hivi.

In essence prince Harry na familia yake bado royals ndio maana details za ulinzi wake azijawekwa wazi mbona kwa baba yake mdogo Prince Andrew liko wazi kuanzia mwezi wa nne anatakiwa kujilipia ulinzi na atofanya tena kazi kwa niaba ya queen, huyo sasa ndio kama washamfuta.

Harry anapewa time-out tu kama anavyotaka na hayo maamuzi ni ya muda mfupi tu mwakani wana review kama bado anataka kukaa bench.

If you ask me Harry ni spoilt brat ni kudeka tu mtu mwenyewe baada ya kuhama alipokuwa anakaa baada ya kugombana na kaka yake mizigo kapeleka Buckingham Palace official kabisa nyumba ya queen (na ana ndugu kibao wenye majumba makubwa).

Kutoka hapo queen kampa nyumba uwani kwake Windor Castle hapo ndio queen anatumia muda mwingi kwa umri wake kushinda Buckingham Palace na yeye yupo uwani na gharama za tax payers zilitumika kui refurbish hiyo cottage iwe fit for a prince.
 
Back
Top Bottom