Mhakiki
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,306
- 1,993
Ni Sheria namba 4 ya mwaka 1970.Nimekwambia Google Sheria ya Utunzaji wa Siri.
Mfano mitihani ya Taifa inayoandaliwa na NECTA ni miongoni mwa Siri za nchi ingawa Siri hii ni ya muda mfupi, mitihani hiyo ikisha fanyika siyo Siri tena. Ila Kuna zile wanaita top secret hizi Huwa ni hiri Hadi ukamilifu wa dahari.