Maana halisi ya siri za nchi ni nini na ni zipi?

Kwa kuwa sijui Kama nimeamka vibaya au vizuri naomba niende moja kwa moja kwenye kilichonituma niulize swali hapo juu.

Kumekuwa utaratibu uliozoeleka hapa bongo unaoitwa Siri za nchi na kwanini kuwepo na usiri katika baadhi ya mambo yanayolihusu taifa...
Kuna siri za familia yako ambazo jirani hatakiwi kujzijua usiku mmefanya nini au mnaishi vipi,kuna siri zako binafsi ziwe mbaya au nzuri lakini huwezi kumwambia mkeo/mumeo

Unashangaa Taifa kua na siri zake
 
1.Kilichopo nyuma ya mwenge utakiwi kukijua.
2.Yeyeto aliyewahi kuwa Waziri mkuu Katu hawezi kuwa raisi wa nchi hii,
3. mtawala yeyeto atakaewaumiza watz atakufa
4.
5.
Haya ni maagano na maagano yanaishi.
Naongeza mbili, Ukiwaza kuvunja Muungano unavunjika wewe, ukitaka kuongeza muda mfano wa Urais huchukui round unabadilishwa jina.
 
Sasa umeziita siri, na kawaida ya siri hubakia siri yaani hazijulikani..sasa kama ni siri hutazijuaje? Na ukisha zijua zitakuwa tena siri?

Sjui umenielewa?
 
Taifa ililiendeshwe ni lazima kuwepo siri nzito za kiutawala , kiuchumi, kijamaa, kisiasa, ili kulinda usalama wa Taifa...

Ukitaka kujua siri nzito..za nchi mkuu jiunge na idara ya usalama wa Taifa.. na wewe ujifunze hizo siri ila out of that you can't know.
Sio kweli. Wapo wanazijuwa na kamwe hawakuwa idara za taifà. Maana serikali nipana na idara ni pana kwa mapana yake. Ndio maana hutakiwi dharau mtu usie mjuwa.
 
Mkuu una hoja nzito ya kuwagusa penyewe. Pima mapovu yatakavyo watoka:

1. Kuna siri za Baraza la Mawaziri.
2. Kuna kuapa kuzitunza na kuzilinda siri za serikali.
3. Wenye nchi hatutakiwi kusikia siri hizo.

Siri yoyote si kwa maslahi ya wowote wanaofichwa siri husika iwe mtu, watu au taifa.

Hapo kwenye siri ni dhana ile ile "kujua namna ya kula na kipofu." Vipofu wenyewe ndiyo sisi.

Kimsingi dhana hii ni potofu. Baada ya kumalizana na serikali ya CCM ni lazima kuwa na mwanzo mpya wenye kuzingatia haki, usawa, uhuru na demokrasia.

Tangu lini waporaji wakakosa siri dhidi ya wanao wapora?

Ni vipi wakose siri za kuficha:

1. Hao waliopo kwenye sufuria?

View attachment 2025772

2. Waliowauwa kina Lijenje, Ben, Azory nk?

3. Walioweka watu kwenye viroba?

4. Walioratibu watu kuuwawa na kupanga mazishi yao hali wakiwa hai?

5. Wanaoratibu Makundi ya watu wasiojulikana?

6. Wanaoratibu kubambikia watu kesi zikiwamo pia hukumu?

7. Wanaoturundukia kodi na tozo kuwaneemesha wao?

8. Wenye maslahi na mikataba wanayoingia kwa niaba ya taifa?

9. Nk.

Shime waungwana hatuko mbali kutokea kwenye mustakabala mwema wa nchi hii.
Yaani inaumiza kweli kweli.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usitake kuzijua!ukizijua hutokua Salama!!!Kuna mambo hufanyika kwa siri kwa usalama wetu!kuna watu huuawa,hufungwa hata hutiwa vilema ili nchi iwe salama!!!Mf. majuzi tu hapa tumempoteza Waziri fulani kwa kosa la kutotunza siri za nchi yetu!!!RIP E.K!!!
Aiseee
 
Watu binafsi wana siri dhidi ya wengine kwenye kuwaibia, kuwawangia, kuwachuria, kula mbususu au kuliwa mbususu, kufumua au kufumuliwa mitaro, na maovu yao ya namna hiyo kwa ujumla wake.

Haipo siri katika mema dhidi ya wanaofichwa siri husika.

Labda kama una maana haya yanaihusu serikali hii pia.

Hiiiiii bagosha!
Hi nimejikuta nacheka...ila mkuu Siri za mtu binafis sio shida maana na Mimi ninazo..

Tatizo linakuja kuwa na watunza Siri zinazotuhusi sisi wote kwa umoja wetu Kama taifa.

Yaani wanatokea watu wachache wanapanga Leo nchi iwe hivi na vile na asiwepo wa kugundua!

Hii Dhana ya kila raia ni mlinzi wa nchi yake inakuwa na mantik gani ikiwa raia wenyewe hawajui kinachofanyika,kinacholindwa, au yanayotengenezwa?

Hoja yangu imajikita huko kuwa sote NI mafundi na ili jengo liende lazima wote tuisome na kuijua ramani ya jengo husika ili kila mmoja kwa wakati wake atimize wajibu kikamilifu.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
1.Kilichopo nyuma ya mwenge utakiwi kukijua.
2.Yeyeto aliyewahi kuwa Waziri mkuu Katu hawezi kuwa raisi wa nchi hii,
3. mtawala yeyeto atakaewaumiza watz atakufa
4.
5.
Haya ni maagano na maagano yanaishi.
Namba 3,tuna mifano hai naanza na rais wa Iraq Sadam Hussein wengine mtamalizia
 
Siri za nchi ni kama vile kutokuweka wazi kundi la watu wasiojulikana ambalo lilianzishwa na kufadhiliwa na utawala katili wa Kayafa katika ile nchi ya Tajikistan.
163763.jpg
 
1.Kilichopo nyuma ya mwenge utakiwi kukijua.
2.Yeyeto aliyewahi kuwa Waziri mkuu Katu hawezi kuwa raisi wa nchi hii,
3. mtawala yeyeto atakaewaumiza watz atakufa
4.
5.
Haya ni maagano na maagano yanaishi.
Namba 1 na 2 nadhani ni muhimu raia tujue.

Yaani ni Muhimu sana

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli bhana bila kayafa nchi ingekuwa na Hali mbaya Sana hii nakwambia.

Ilijaa wahuni wengi

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Kayafa ndiye Rais mhuni,mpigaji na fisadi kupita wote kuwahi kutokea tokea uhuru na hili lilithibitishwa na ripoti ya CAG profesa Assad.

Profesa Assad aligundua ufisadi wa TZS 1.5 trilioni.Tokea uhuru hakuna Rais wa Tajikistan ambae amewahi kufanya ufisadi mkubwa kama huu.Wewe ni nani hadi upingane na ripoti ya CAG?
p.jpg
202p.jpg
2029p.jpg
20211p.jpg
 
Kayafa ndiye Rais mhuni,mpigaji na fisadi kupita wote kuwahi kutokea tokea uhuru na hili lilithibitishwa na ripoti ya CAG profesa Assad.

Profesa Assad aligundua ufisadi wa TZS 1.5 trilioni.Tokea uhuru hakuna Rais wa Tajikistan ambae amewahi kufanya ufisadi mkubwa kama huu.Wewe ni nani hadi upingane na ripoti ya CAG?View attachment 2025977View attachment 2025978View attachment 2025979View attachment 2025980
Cag mwenyewe alikuwa mmoja Kati ya majitu mahuni ndo maana akatolewa kwenye ofisi.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
In fact sio SIRI kana SIRI bali ni taarifa fulani kwa kundi fulani la watu na kwa wakati fulani.. Kiingereza inaelezeka vizuri zaidi kama CLASSIFIED INFORMATION kwakuwa hakuna SIRI ya watu wengi.

Wenzetu kwa kutambua binadamu hawezi kukaa na kitu rohoni milele basi huwa na utaratibu wa kuujulisha umma habari fulani muda unapopita na inapoonekana habari husika haina madhara tena.

1.Kuna 'siri' huwa wanazifahamu marais tuu(lakini kiuhalisia sio siri bali ni classified information
2. Kuna hizo siri wanazifahamu rais na mawaziri tuu
3. Kuna hizo siri wanazifahamu wabunge tuu..
Mambo huenda hivyo mpaka level ambayo hufikia isiwe siri tena kwakuwa jambo fulani kadiri linavyozidi kufahamika na wengi ndio 'usiri' wake hupungua

Kitengo cha usalama wa taifa ndio huwa kina dhima na jukumu la kutunza kinachoitwa siri za nchi..lakini nao si wote wanaweza kujua kila kitu kwa wakati fulani

mzee wetu alipokuwa akisema kwa hisia kwamba ana mafile anayo ni mazito hata kuyatolea maamuzi mkahoji kwanini aliutaka huo urais!!!

kifupi hii nchi ndio maana wengine,tukiona vijana wanavyohangaika na siasa tunawasikitikia tu.
 
mzee wetu alipokuwa akisema kwa hisia kwamba ana mafile anayo ni mazito hata kuyatolea maamuzi mkahoji kwanini aliutaka huo urais!!!

kifupi hii nchi ndio maana wengine,tukiona vijana wanavyohangaika na siasa tunawasikitikia tu.
Tulikokuwa tunaelekea huyu mzee angeyabwaga hadharani tu wakaona (WAMUWAHI) labda.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Tulikokuwa tunaelekea huyu mzee angeyabwaga hadharani tu wakaona (WAMUWAHI) labda.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app

sasa viazi mbatata wanakwambia eti ni corona,basi unakaa unaangalia namna gani tz iko mbali kuufikia ukombozi sababu ya akili mbilikimo kama hizo unasikitika tu.

ujue mzee walimpa kiti,hawakujua ni mtu strait kuliko walivyomdhania,au shinikizo lilitoka kwa chinga,wao hawakuwa na namna.

mwamba kuja ofisini anakuta mambo yako shaghala baghala,halafu anashangaa watu wako ktk ndoto ya kutoboa siku moja,na wanahubiri hayo majukwaani.
akaona hawa hawajui kitu ngoja kwanza.
 
CAG alitimuliwa kwa sababu alimulika ufisadi wa Magufuli na kumuumbua Magufuli.Hata kama ni wewe ulimulikwa na kuumbuliwa ungemuacha aliekuumbua?View attachment 2026751
Okay tufanye ni kweli..lakini jamaa hakufanya huu ufisadi na kwenda kula Bata popote dunia hii, aliufanya ili nchi ipate maendeleo,na ndo ufisadi ambao wanachi tulio wengi tunaoutaka, kudhibitisha hivyo hii kelele ya tilion 1 mnaipigia ngoma nyie na kucheza wenyewe kwa uchache wenu sisi wanachi tunajua zilienda wapi na zikafanya Nini.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom