wapo wahitimu wa bsc general science, chemical processing, mineral processing na mechanical eng, wanaweza soma post graduate in education na wakafundisha physics na chemistry. wapo walimu wenye diploma wanafundisha shuleza msingi hawa wakasome udom waje kufundisha sekondari.Wadahili kutoka wapi kama wahitimu wa Sayansi kidato cha nne na sita ni wachache, ni wanafunzi wachache sana wa Sayansi waliofaulu wanaokosa chuo. Tunahitaji kuongeza idadi ya wahitimu wa Sayansi, tuwaondoe vijana uoga wasome basic Sayansi kama mtu anataka kuendelea na Sanaa na biashara ataendelea nayo A level ila kuwa na pool kubwa ya wahitimu wa Sayansi ni kitu sahihi.
Kuna utofauti mkubwa sana katika mfumo wa elimu US na Bongo tena nikisema mfumo namaanisha mfumo mzima tokea kumwandaa mwanafunzi,mazingira ya kufundishia na kujifunzia,lengo la kusoma unachosoma n.kHua ni muhimu sana kua na long discussions ikiwezekana muda mwingine kuinvolve public au education institutions kwenye these kinda choices ili tu kupata maoni ya pande zote, personally I think wanafunzi kusoma sayansi hadi form 4 sio kitu kibaya, kwa kua ni basic stuffs wanasoma, na wanafunzi wengi hua wanaregret kudrop science wakiwa form 2 simply because unakuta bado uelewa ni mdogo wa kumake the right choice, mambo kawaida hua yanaanza kua tight form 5. Ofcoz vipo vichwa vingi ambavyo vitafeli Tanzania, hasa arts hua wanafeli sana pamoja na kua na idadi kubwa still wana kauvivu fulani wakiamini arts ni kitu rahisi.
Nadhani tatizo kubwa hasa lipo kwenye system yetu, wanafunzi wengi ni wavivu, they don't study at all, ingia darasa lolote la form 4 uliza pythagoras theorem utakuta almost 50% hawajui kitu ambacho marekani mtoto wa grade 6 anakujibu hata akiwa usingizini, unless upo kwenye shule special.
Ila una valid point pia, I think what we need is long discussions kuweigh njia ipi ni sahihi, na challenges zake ni zipi, kama tutaintroduce sayansi kwa system iliyopo kuna probability kubwa ya kuongeza F kwenye vyeti vya form 4. Tuige nchi kama USA ambazo kitu kama kuintroduce Computer science kwenye curriculum walitumia almost miaka 4 kudiscuss, research zikafanyika, wakafuatilia hadi kwenye big companies Sillicon valley ili tu kujiridhisha kua its the right choice. Sisi hizi decisions ni kama tunazifanya overnight, we are experimenting on people.
eddy unataka wahandisi waje kufundisha sekondary na kazi za uhandisi nani atafanya, kuongeza pool ya candidates wa Sayansi ni jambo la afya kwa taifa, lina changamoto nyingi ila in a long run tutaweza kuanza kuzalisha wahitimu wa Sayansi wengi zaidi.wapo wahitimu wa bsc general science, chemical processing, mineral processing na mechanical eng, wanaweza soma post graduate in education na wakafundisha physics na chemistry. wapo walimu wenye diploma wanafundisha shuleza msingi hawa wakasome udom waje kufundisha sekondari.
Mkuu nchi gani imeendelea kwa kufa watu? sudan ya kusini? libya? misri? somalia? Syria? Congo? Liberia? lakini zipo nchi zimeendela bila kumwaga damu mfano china malaysia Singapore korea ya kusini. Kama kupigana ni suluhisho mshambulie mkeo kwa makonde ili alime shamba kubwa mpate maendeleo zaidi.Eti tuna amani. Huu ni uoga wa kufanya maamuzi magum. Watu inabidi wafe ili nchi irudi kwenye mstalini.
Hii ni nchi na sio familia. Kufanya maamuzi yanayohusu jamii ya watu milion 50 inahitaji weredi wa hali juu
Kabla ya maamuzi kufanyika lazima watu wakae wajidili faida na hasara ya wanachotaka kukifanya. Ili kama maamuzi yanafanyika tayar tathimini ya jamii itakayoathirika inakua tayari ishafahamika na jinsi au namna ya kuisaidia hiyo jamii inakuwepo.
Lakini now days mtu wazo limujia jukwaani hata kabla ya kufanyia utafiti jambo husuka tayari maamuzi yashatoka.
Watanzania naomba tuelewane, sina nia mbaya na nchi yangu, naipenda nchi yangu ila inafika mahala hata mimi mwenyewe nachoka. Hii ni nchi sio familia. Tunaoumia ni sisi ambao hatuna uwezo, wenye nazo hata hawayafikirii haya
Naishi kwenye nyumba kama banda la mbwa, nalipa kodi kubwa, ukimdai mwenye nyumba kodi ataiongezea kwenye kodi ya pango langu. Unataka nifee
Aaaah, this is unfair.
Je, unafahamu kuwa mwanao kusoma na kufaulu masomo ya kemia, hisabati na fizikia hakumzuii kusoma sheria? Isitoshe mwanasheia mzuri ni yule mwenye core knowledge ya eneo lake la sheria badala ya general framework ya legal knowledge.Mimi mwanangu namuandaa kuwa Mwanasheria. Kwanini nimsumbue na Physics na Chemistry,?
kwa taarifa yako nenda shule za private wapo wahandisi kibao wanafundisha physics na chemistry, hebu Ndalichacho atangaze masters za education atoe na mkopo aone kama hawatabanana madarasani.eddy unataka wahandisi waje kufundisha sekondary na kazi za uhandisi nani atafanya, kuongeza pool ya candidates wa Sayansi ni jambo la afya kwa taifa, lina changamoto nyingi ila in a long run tutaweza kuanza kuzalisha wahitimu wa Sayansi wengi zaidi.
Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu. Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mashuleni, kesho yake tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi.
Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na vyuo, hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini haumruhusu, vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'
Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village' Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini.Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?
Je mtoto wa kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje? Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania? Kwani Tanzania ni kisiwa? Si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'? Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?
Labda ungependa kufahamu kuwa kwa miaka 30 kumekuwa wizara ya elimu imekuwa iki-commission tafiti mbali mbali ambazo ripoti zake zilipendekeza mabadiliko na maboresho ya kisera na ki-mbinu kadha wa kadha lakini serikali haikuwa inayatekeleza. Kinachofanyika sasa ni kutekeleza mapendekezo hayo. Mfano mzuri ni uamuzi wa Profesa J. Galabawa; alipoona mapendekezo aliyokuwa akiyatoa kufuatia tafiti alizokuwa akifanya zikiwa zimedhaminiwa na seriakali hayatekelezwi, aliamua kutumia sehemu ya mapendekezo hayo kuanzisha shule, St. Thomas Machrina High School. Kwa miaka 5 mfululizo shule hiyo imekuwa ikifanya vizuri sana kwa shule zenye watahiniwa (K.IV) chini ya arobaini.Hili swala linahitaji utafiti na kushirikisha wadau kabla ya uamuzi
hivi masomo yapo tisa tuu? commerce na book-keeping sio masomo?MAMA NDALICHAKO YUKO SAHIHI 100 %. KWANI TATIZO MNALOLIONA HAPO NI LIPI?
MIMI NIMESOMA MASOMO YOTE TISA(9) O LEVEL, nothing i lost. ADVANCED LEVEL nikasoma mchepuo wa Arts yaani HGE.
namshukuru MUNGU C ya mathematics na Ds za physics, chemistry na biology (biology na chemistry siyo sana) ila applications zake nimezitumia sana mpaka university wakati nasoma bachelor ya ECONOMICS.
Mwenye reason ya kusema tamko hilo ni wrong atueleze.
Wapo walioko vyuoni walikimbilia arts o level leo wanatamani warudi wakasome mathematics na physics tena.
Acheni wasome yote kama mimi atakaye feli masomo ya science kama mimi hata razimishwa kuyasoma advance.
Lakini atakuwa na knowledge kama yangu tofauti na aliyekimbia kabisa kama mnavyowashauri.
Kuna waliokwaa kisiki enzi Ndalichako akiwa Katibu Mtendaji wa NECTA, pamoja na Kawambwa, haiyumkini wewe ni miongoni mwao.Huyu mama ni useless kabisa wengi hamumjui ila mihemuko ndio imafanya akarudishwa sasa mtaisoma number hebu elezeni mchango mkubwa ktk historia yake alivokuwa necta alifanya nn la zaidi. Huyu ni walewale ndio kzee
Sawa sophia lkn jua na mwambie mamako hana jipya anakurupuka na nilimuona wa ovyo hasa swala la wanafunzi wa special dip udom huruma na mihemuko ya kidini ndio yamemueka hapo na sio kingine hyo wizara yataka hekima na sio mihemukoKuna waliokwaa kisiki Enzi Ndalichako akiwa NECTA, pamoja na Kawambwa, haiyumkini wewe ni miongoni mwao.
sio lazima mtu awe na taaluma moja, anaweza kuwa mwalimu, mhandisi na mtawala, mfano dr.mashinji ni mtaalamu wa nusu kaputi, daktari, mtawala, na mwana siasa. Mwingine ni Dr. Kigwangalla mi Medical Doctor lakini ana MBA vile vile na ni mbunge.eddy unataka wahandisi waje kufundisha sekondary na kazi za uhandisi nani atafanya, kuongeza pool ya candidates wa Sayansi ni jambo la afya kwa taifa, lina changamoto nyingi ila in a long run tutaweza kuanza kuzalisha wahitimu wa Sayansi wengi zaidi.
Sasa kimeelewekaSawa sophia lkn jua na mwambie mamako hana jipya anakurupuka na nilimuona wa ovyo hasa swala la wanafunzi wa special dip udom huruma na mihemuko ya kidini ndio yamemueka hapo na sio kingine hyo wizara yataka hekima na sio mihemuko
Ok sophySasa kimeeleweka
Hua ni muhimu sana kua na long discussions ikiwezekana muda mwingine kuinvolve public au education institutions kwenye these kinda choices ili tu kupata maoni ya pande zote, personally I think wanafunzi kusoma sayansi hadi form 4 sio kitu kibaya, kwa kua ni basic stuffs wanasoma, na wanafunzi wengi hua wanaregret kudrop science wakiwa form 2 simply because unakuta bado uelewa ni mdogo wa kumake the right choice, mambo kawaida hua yanaanza kua tight form 5. Ofcoz vipo vichwa vingi ambavyo vitafeli Tanzania, hasa arts hua wanafeli sana pamoja na kua na idadi kubwa still wana kauvivu fulani wakiamini arts ni kitu rahisi.
Nadhani tatizo kubwa hasa lipo kwenye system yetu, wanafunzi wengi ni wavivu, they don't study at all, ingia darasa lolote la form 4 uliza pythagoras theorem utakuta almost 50% hawajui kitu ambacho marekani mtoto wa grade 6 anakujibu hata akiwa usingizini, unless upo kwenye shule special.
Ila una valid point pia, I think what we need is long discussions kuweigh njia ipi ni sahihi, na challenges zake ni zipi, kama tutaintroduce sayansi kwa system iliyopo kuna probability kubwa ya kuongeza F kwenye vyeti vya form 4. Tuige nchi kama USA ambazo kitu kama kuintroduce Computer science kwenye curriculum walitumia almost miaka 4 kudiscuss, research zikafanyika, wakafuatilia hadi kwenye big companies Sillicon valley ili tu kujiridhisha kua its the right choice. Sisi hizi decisions ni kama tunazifanya overnight, we are experimenting on people.