Ndo alikua kimya kule kwenye uzi wako kule kuhusu suala la mjelajelaBalozi asibezwe Nina taarifa fulan, kwenye mahojiano na kamati fulan ya maadili kuna mambo kawakazia macho! Yule KOSWE akajing’ata
Koswe hakujikojolea? Nasikia seal zimekatika
Mapinduzi yatakuwa Mubashara.Balozi asibezwe Nina taarifa fulan, kwenye mahojiano na kamati fulan ya maadili kuna mambo kawakazia macho! Yule KOSWE akajing’ata
Haya mambo hayataki hila. Lazima ukweli, uwajibikaji then maridhiano yafanyike. Kinyume chake kila njia za hila ku solve itazaa matatizo mengine makubwa zaidi. Tunahairisha matatizo na kusuka mengine! Italeta matatizo mengi
Watch 100 Naona umekomentii haha am joking
Hapa anatafakariKOSWE ye ni kusinzia tu
Anavaa pampasKoswe hakujikojolea? Nasikia seal zimekatika
CCM kupona kwake ni kupigwa chini warudi kwenye drawing board wajifunze kuwa chama cha siasa maana kwa sasa siyo tena chama cha siasa bali ni genge maslahi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Bila kuwatoa nje hawa madhalimu wataendelea kuwa chinjachinja na kuzidi kuiharibu nchi.Pamoja na uzuri anaopambwa nao huyo Balozi, lakini kwa mwendo wake huo atalisalimisha jahazi tulilotaka lizame moja kwa moja.
CCM ilivyo sasa hivi kamwe haiwezi kufanyiwa ukarabati wa juu juu kwa matumaini ya kurudisha ile ya zamani.
Balozi anajaribu kuweka bandage kwenye donda ndugu, akifikiri litapona!
Anapoza maumivu ya muda mfupi tu, huku donda ndugu likiwa bichi kabisa ndani kwa ndani.
Acha nikupe na mfano hai kabisa kama bado unamashaka kuhusu ninaloeleza hapa.
CCM ya Magufuli; uliiona? Mara PAAAA, Samia kaingia,.... Donda likaanza kutoa usaha kabisa.
Balozi anaweza kulituliza kidogo. Haliponi hilo!
Na lile tumbo kama pakacha la embe hapo ni mwendo wa kutoa ushuzi wa kisailensaKwa umri wake lazima ana diapers au Foley catheter mkuu! Sphincters zishachoka, hii ni sayansi
Gaucho?Balozi asibezwe Nina taarifa fulan, kwenye mahojiano na kamati fulan ya maadili kuna mambo kawakazia macho! Yule KOSWE akajing’ata
Sokwe ni kutoka wapi? Musoma? Tuyaache ya KOSWE/SOKWE.KOSWE ye ni kusinzia tu