Maamuzi ya atheists

Maamuzi ya atheists

For sure mimi nimesoma Qur an za kiswahili then nikasoma ya kiarabu , kuhusu dini mimi nimechagua kuishi kama Muislamu
. Kiufupi ,maisha ya kiislamu nayapenda zaidi yake kwa sababu ni ule usawa
Na ndio Maana kuna uhuru wa kuabudu.

Kuna dini kubwa 7 na zote wamesoma vitabu vyao na wakayapenda na wakaona kuna usawa na wakachagua kuishi kwa dini hizo.

By the end of the day.
Mm nina amini hakuna aliyekosea wala kupatia. Ni mtindo tu wa maisha tumechagua. Nothing more.
 
Mama yako abalikiwe sana

Mama ni mshindi tayari anao uzima wa milele

YESU KRISTO aliwambia wayahudi nyie mtakufa katika dhambi zenu maana mumemkataa masihi wa MUNGU

Kama mama yako kampokea masihi wa MUNGU ni mshindi tayari

Abarikiwe sana
 
Mimi baba yangu ni mkristo
, binafsi nimekulia kwenye dini ya ukristo, hasa Lutheran na katoliki

Mama yangu ni msomali mwenye asili ya kipalestina , kabadili dini na kuwa Mkristo.

Binti yangu alipenda ajue dini zote, kwasababu mimi ni msomi na mchunguzi nilimweleza dini mbili kinaga ubaga bila kubagua bila kubagaa, ili achague ila akachauga uislamu , watu wa dini tiririkeni halafu mbaya zaidi mimi ni mkriso halali kabisa 😜
Hadithi yako inatufundisha nini tajiri
 
Na ndio Maana kuna uhuru wa kuabudu.

Kuna dini kubwa 7 na zote wamesoma vitabu vyao na wakayapenda na wakaona kuna usawa na wakachagua kuishi kwa dini hizo.

By the end of the day.
Mm nina amini hakuna aliyekosea wala kupatia. Ni mtindo tu wa maisha tumechagua. Nothing more.
Yeah ,dunia ni kubwa so shika njia yako basi ...
 
Back
Top Bottom