Maamuzi ya atheists

Maamuzi ya atheists

Kwa hiyo mchaga aliyezaliwa mtwara, anakuwa mmakonde, mkinga aliye zaliwa Tanga ,anakuwa mpwani?

Kuzaliwa sio issue, ndio maana wabaniani wamezaliwa kariakoo lakini sio wazaramo, wakwele, wanyagatwa, wanyangalio, warufiji Wala wandengereko 😁😁😁.

Kwa hiyo pwani Bagamoyo sio?
Kisiju pwani sio?
Pemba mnazi na Buyuni sio?
Nyamisati na Nyanjati sio?
Kilwa?
Lindi sio?
Mikindani sio?

Huwezi kuwa mbeya, Shinyanga au Rukwa ukabaguliwa kisa unatokea ukanda wa pwani.
Ila utaitwa kichogo na mbara hata kama unatokea Mafia ukiemda kisiwa Unguja na Pemba.
Bado hujajitambua , mambo ya asili ni zamani , kuna wachina ni wazanzibar wapo wazungu ni wachaga unajua hilo ? kwa mfano wewe umezaliwa Dar na kukulia Dar hata lugha yako ya kanyakyusa huijui , yaani wewe labda ni mtoto wa Sinza huko mpaka dili zako ni hapo , leo wakisemwa wanaume wa Dar basi wwe ni mmoja wako .

Unaelewa msemo huu ''A mother tongue is not necessarily your mother's language'' ina maana hata lugha ya mama sio lazima iwe lugha yako ya kwanza kiasili. Mtu anatambulika kulingana na maeneo aliyokulia , ungezaliwa chinese na weusi wako huo mpaka sasa ungejua kichina kuliko kiswahili hata nyoka wangekuwa ni chakula chako .

Mimi ni mcoast ila naandika kabila kama msambaa , usambaani sijawahi kukaa wala sijui lugha zao , na wengi wanajijua mimi ni mtanga sio msambaa .
 
Tanga ni eneo na kabila lako ni msambaa wa milimani huko.
Tanga mjini ni sehemu unayo ishi na si vingonevyo.

Mother tongue ni ile lugha ya kwenu kabla ya chochote, sawa Mzee wa mahagwe?

Hakuna mchina mweusi hata kama utazaliwa na kuishi china, kwa namna Moja ama nyingine, utajihisi tu.

Hakuna mjapani mweusi, jamaa yenye we itakukataa.

Hivyo hakuna matanga, mpwani, mlindi, Mafia, mtwara atakaye sema yeye ni mzanzibari.

Kutumia kwako ni kwa sababu wewe ni mdini, although hata Mimi natokea pwani ila nipo neutral na observe facts na sio kuangalia kupitia anyesemwa ni mtu Kutoka Kanda ipi.

Wewe ni kichogo na kwa macho yao huwezi kuwa sawa nao.

Hivi nyie na unguja, Pemba na Mombasa wapi ambapo Kuna udugu wenye mizizi?

Watu wa kule duga mafoloni, mtimbwani, msambweni, moa mpaka kule horohoro, wapi wapo karibu.

Acha kujilisha upepo kichogo
 
Unaongea ujinga , hata wazanzibar asilia unawajua wewe ? sisi pwani hatuna makabila , mimi ni mtanga na kabila ni vitu viwili tofauti sina lafudhi ya kisambaa wala sijawahi kuishi huko . Kwa hiyo wale weusi mbona wanacheza timu za ulaya , bado akili yako ina vumbi. Ufaransa pale untaka kusema Dembele na Mbappe ni wafaransa kwa asili ? hata lugha za kwao hazijui wala makabila na watu wanaishi .

Kwanza , hakuna mzungu wala muamerika mweusi , weusi ni waafrika tu , huko kote walienda kipind fulani ila wanabaki na utaifa wa huko kwa vile wamezaliwa huko ..Halafu fanya uzunguke, huku mambo ya makabila hayapo , ndio maana tunaitwa watanga ,... Zenji na Tanga mambo ya makabila hayana ishu .
 
Mzanzibari asilia?
Kwa sehemu iliyofanyiwa utumwa toka Karne ya saba(07) mpaka Karne ya 18? zaidi ya miaka 1200?

Mzanzibari asilia ni hakuna ila wenyeji wa awali walitoka pwani ya afrika mashariki.
Kabla ya mkoloni mwarabu sayyid seyyid kuja.

Wengine ni mazao ya utumwa, mashamba ya karafuu, kupanda minazi na manamba.

Vizazi vya wakoloni waliotoka Oman, Yemen, Balochistan, Shiraz kuja kutawala biashara ya utumwa, viungo vya karafuu, pembeni za ndovu Kutoka Tanganyika, Mwenemutapa, Kongo.
Hawa ni wakoloni kabla ya ujio wa wakoloni Kutoka Ureno, na baadae wazungu Kutoka ujerumani na Uingereza.

Sasa wewe kichogo wa Tanga, unamjua Mzanzibari ni nani?

Kuwa mweusi Amerika, utabaki mwafrika ila unaishi kwao, hutakuwa Moja wao ila neno black kwa Amerika lina sababu zake.

Hata Ulaya Bado utabaki mwafrika, hata ufanyaje Mzee wa mahagwe
 
Mzanzibari asilia?
Kwa sehemu iliyofanyiwa utumwa toka Karne ya saba(07) mpaka Karne ya 18? zaidi ya miaka 1200?

Mzanzibari asilia ni hakuna ila wenyeji wa awali walitoka pwani ya afrika mashariki.
Kabla ya mkoloni mwarabu sayyid seyyid kuja.

Wengine ni mazao ya utumwa, mashamba ya karafuu, kupanda minazi na manamba.

Vizazi vya wakoloni waliotoka Oman, Yemen, Balochistan, Shiraz kuja kutawala biashara ya utumwa, viungo vya karafuu, pembeni za ndovu Kutoka Tanganyika, Mwenemutapa, Kongo.
Hawa ni wakoloni kabla ya ujio wa wakoloni Kutoka Ureno, na baadae wazungu Kutoka ujerumani na Uingereza.

Sasa wewe kichogo wa Tanga, unamjua Mzanzibari ni nani?
Nikueleze , basi nina jirani yangu ni mzee ambaye ana jina la kigoma , anakuambia baba yake amakuja hpa tanga kama mfanykazi enzi za ukoloni na yeye kazaliwa hapa . Yule mzee ni mvuvi na wengi wanamjua kama mdigo .Mambo ya makabila hayopo kabisa , yalishakufa sisi ni watanga .
 
Kobaz kwenye moja na mbili!

Yaani uwe Mkristo umwelezee mwanao Ukristo asiuelewe wakati huo huo wewe siyo muislam umwelezee mwanao Uislamu aulewe,mboni unataka kutuzoea vibaya hivyo?
 
Nikueleze , basi nina jirani yangu ni mzee ambaye ana jina la kigoma , anakuambia baba yake amakuja hpa tanga kama mfanykazi enzi za ukoloni na yeye kazaliwa hapa . Yule mzee ni mvuvi na wengi wanamjua kama mdigo .
Huyo kapata udigo kwa kuvundika 😁😁😁
Ila sio mdigo na Wala hana uhusiano na mkoa wa Tanga.
Kuishi sehemu hakukupi nasaba na hilo kabila la hapo.

Kanda yote ya mashariki, kuanzia Morogoro, pwani,Mafia, koma, jaja, kwale, kilwa, kisiju pwani, Lindi, Mikindani, Pemba ya Msumbiji,Mombasa wote Wana Makabila yao.

Wewe mshambaa, acha kujifananisha na watu wasio kutaka.

Halafu unachanganya kati ya ethnicity, Nationality na Resident.

Kichogo umeelewa?
 
Ukabila hauna nafasi kwetu , mimi ni mtanga na tukitukanwa pwani ni wote ..Mbona hamseni wadigo ni wavivu ila mnasema watu wa Tanga au pwani wavivu , mimi mtu yeyote wa Tanga ni ndugu yangu au anayetoka zenji .
 
Kwanza, pwani sio Tanga pekee
Ndio maana Kuna Tanga na Mkoa wa pwani, Lindi na Mtwara bila kuiacha Morogoro.

Ni kweli utamaduni wa uvivu, kuridhika mapema, kutokujituma, kutokupenda shule, sherehe za kijinga kijinga Kila wiki, kutokuwa na shauku ya maendeleo, kuamini ushirikina, kujifungamanisha na uarabu, uduni wa fikra, kutozingatia kilimo kwa hizi sifa hawadanganyi.

Wachache tu ndio wanatoka ila wengi wamekwama.

Kanda ya pwani Kuna Makabila
Hatuwezi kuungana kisa ukabila, udini au ukanda.
Sisi ni WA Tanzania
Acha fikra duni
 
Ukanda wa pwani wote mpka zenji ni ndugu zangu
 
Huwezi kuweka undugu kwa watu wanaokukataa.
Wao wanakuita kichogo, mbara
Wamegoma hata kukuajiri kwenye serikari yao(SMZ).
Haupo katika majeshi yao ( KMKM,Volunteer, Uchumi)
Wamegoma wewe usinunue ardhi
Usitibiwe kwenye hospitali zao, kisa sio mzanzibari na haiusiani na ukaazi

Huu undugu wa upopo, mnautoa wapi
Wakikuona huna akili, watakuwa wamekosea?
Toka kwenye ukanda,
Toka kwenye udini
Ndio utaona macho Yako yana tongotongo
 
Mimi baba yangu ni mkristo
, binafsi nimekulia kwenye dini ya ukristo, hasa Lutheran na katoliki

Mama yangu ni msomali mwenye asili ya kipalestina , kabadili dini na kuwa Mkristo.

Binti yangu alipenda ajue dini zote, kwasababu mimi ni msomi na mchunguzi nilimweleza dini mbili kinaga ubaga bila kubagua bila kubagaa, ili achague ila akachauga uislamu , watu wa dini tiririkeni halafu mbaya zaidi mimi ni mkriso halali kabisa 😜
Ana umri gani? mwambie achague upande wowote ule wa Imani pindi akifika miaka 30.

Chini ya hapo maamuzi yanakuwa sio yake bali niyakushawishiwa kwa namna mbalimbali... "Samaki mkunje angali mbichi"

Mueleze tu kwamba dini ni kwaajili ya kujumuika tu/kushirikiana baina ya binadamu, hususani katika shughuli za kijamii, full stop na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom