To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,161
- 37,661
Sahihi mkuuNimejizaa , kwa binti yangu tuanze nani ana binti yake anamzidi uzuri humu , kwa sababu kuhusu pesa kashawafukia
Sahihi mkuuNimejizaa , kwa binti yangu tuanze nani ana binti yake anamzidi uzuri humu , kwa sababu kuhusu pesa kashawafukia
Mimi hako kabinti kako ulivyokaelezea kamenirovya rovu rovuKatoto kangu kana akili kuliko nyumbu wengi humu kwanini nisi kasikilize?
Alipenda ubwabwa, watoto wanapenda sana ubwabwa.Mimi baba yangu ni mkristo
, binafsi nimekulia kwenye dini ya ukristo, hasa Lutheran na katoliki
Mama yangu ni msomali mwenye asili ya kipalestina , kabadili dini na kuwa Mkristo.
Binti yangu alipenda ajue dini zote, kwasababu mimi ni msomi na mchunguzi nilimweleza dini mbili kinaga ubaga bila kubagua bila kubagaa, ili achague ila akachauga uislamu , watu wa dini tiririkeni halafu mbaya zaidi mimi ni mkriso halali kabisa 😜
Tanga ni pwani?Mama yako mvaa vimini ,unamuonaje..sipendi shobo na wanuka midomo wa bara .
Wanasema kuna true Muslim na Converted.Mwisho wa siku hizi dini ni imani ya mtu binafsi iliyotokana na asili au mazingira fulani.
Utakuwa mkristo au muislam au mshirikina au budha kulingana na mazingira uliyokulia au watu wako waliokulea au kukuzaa.
Ndiyo maana nikiona watu wanabishana kuhusu dini, au kujiona dini yako ni bora kuliko ya mwenzako, unakuwa huna akili ni mpumbavu hujui chochote kuhusu dini.
Waarabu wametuletea uislam ila ukienda uarabuni ukiona wanavyo chezea huo uislam na wanavyoichezea misikiti unaweza kuitukana dini yako, the same ukienda kwa wazungu ukiona wanavyo chezea huo ukristo na makanisa unaweza kujitukana mwenyew. Sisi tuna ziheshimu hizi dini ila walituletea wao wanaziona ni kama UTAMADUNI WAO AU LIFESTYLE YAO sio imani.
Ndiyo maana waarabu wanasema hakuna waislam mwenye rangi nyeusi 🤣 na wazungu wanasema hakuna mkristo kutoka Africa anayejua ukristo zaidi yao
Eti mkristo halali kabisa🤣🤣mbaya zaidi mimi ni mkriso halali kabisa 😜
😅😅Tanga ni pwani?
Ili ni jibu qmbalo hata kina kilanga and the like wanatakiwa walikubali ukikosa kile unachotaka unatengeneza negativityKuna kipindi nadhani huwa naamini ama nafanya vilivyo tofauti na imani yangu.. Labda ni kwakuwa nimezisoma sana dini lakini nikakosa kile nilichokitaka ndani ya hizo diniView attachment 3618577
Usinicheke nitafumua thread zako za kipindi Cha nyuma
Kama jibu ni ndio