Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,430
Tarehe ya Kujiunga Juzi 26, Sept,2015. Duuh!!!!! JF.
Walisema babu duni ataongea na waandishi kujitoa, jana kaonekana Zanzibar, leo wamesahau hadithi, wamekuja na Tundu lissu sasa.
Ukweli unabaki, akiondoka, UKAWA inaendelea... Hata akitoka LOWASA tutambeba FREDERICK SUMAYE tutaenda katika mabadiliko.
Takataka la lumumba likiwa ndotoni:wink:Habari za uhakika ni kwamba Lissu yupo katika maandalizi ya kufanya maamuzi magumu, amabayo yatabadilisha mwelekeo wa siasa za Tanzania.
Kwa muda mrefu Lissu amekuwa akitofautiana na wenzake Chadema japo hakutaka kuonekana wazi baada ya kuondoka Dr Slaa.
Habari ndani kutoka kwa wadau wake ni kwamba kuna uwezekano mkubwa akaonekana kuwa na msimamo tofauti na chama chake kwa sasa.
Habari za uhakika ni kwamba Lissu yupo katika maandalizi ya kufanya maamuzi magumu, amabayo yatabadilisha mwelekeo wa siasa za Tanzania.
Kwa muda mrefu Lissu amekuwa akitofautiana na wenzake Chadema japo hakutaka kuonekana wazi baada ya kuondoka Dr Slaa.
Habari ndani kutoka kwa wadau wake ni kwamba kuna uwezekano mkubwa akaonekana kuwa na msimamo tofauti na chama chake kwa sasa.
Dozi ya Kingunge imekuingia.Dozi ya mabadiliko ambayo yamechelewa.Lissu ni jembe la mabadiliko!!
Haijalishi, ila Lissu atabaki kuwa mwanasiasa mpuuzi kabisa kuwahi kutokea katika karne hii, when he had a chance to be the most influential politician of all the time
Akina mbowe wamemtumia, ametumika kuwachafua na kujaribu kuzima ndoto za akina Zitto kabwe
kachakaza elimu yake, heshima yake, kabaki anabwatuka tu, hana mbele hana nyumba , hana ideology hana theory kabaki maamuma tu
Unafahamika sana kwa uwendawazimu wako, hakuna anayekushangaa wewe mpapure! huna hata uwezo wakumdhihaki msomi aliyebobea kama Lisu! huna tofauti na makalio kubaki nyuma na kunukiwa ushuzi milele!Haijalishi, ila Lissu atabaki kuwa mwanasiasa mpuuzi kabisa kuwahi kutokea katika karne hii, when he had a chance to be the most influential politician of all the time
Akina mbowe wamemtumia, ametumika kuwachafua na kujaribu kuzima ndoto za akina Zitto kabwe
kachakaza elimu yake, heshima yake, kabaki anabwatuka tu, hana mbele hana nyumba , hana ideology hana theory kabaki maamuma tu
habari za uhakika ni kwamba lissu yupo katika maandalizi ya kufanya maamuzi magumu, amabayo yatabadilisha mwelekeo wa siasa za tanzania.
Kwa muda mrefu lissu amekuwa akitofautiana na wenzake chadema japo hakutaka kuonekana wazi baada ya kuondoka dr slaa.
Habari ndani kutoka kwa wadau wake ni kwamba kuna uwezekano mkubwa akaonekana kuwa na msimamo tofauti na chama chake kwa sasa.
Lissu fanya mabadiliko mapema achana na hao wapiga dili wanakuchafua.