Mmeshaanza, poleni sana.
Sisi tunalojua ni moja tu, Mabadilikoooooooo!!
Habari za uhakika ni kwamba Lissu yupo katika maandalizi ya kufanya maamuzi magumu, amabayo yatabadilisha mwelekeo wa siasa za Tanzania.
Kwa muda mrefu Lissu amekuwa akitofautiana na wenzake Chadema japo hakutaka kuonekana wazi baada ya kuondoka Dr Slaa.
Habari ndani kutoka kwa wadau wake ni kwamba kuna uwezekano mkubwa akaonekana kuwa na msimamo tofauti na chama chake kwa sasa.
...amechakaza elimu yake kivipi man!!....Lissu is still unchanged....leo...jana na kesho...kama uhamini pata kesi alafu mtafute akusimamie uone kama atashindwa....ila umlipe vema(kama utaweza)....Lissu is still one of the best (and few) politicians this country has currently....and he will be so for long...seems you don't know the guy better...The only problem with Lissu (to many like you) is that he is very open and frank...as opposed to people like Zitto whom you happen to support....
Unamatatizo, changia hoja
Mabadiliko bila lowasa yanawezekana.
...alimjibu slaa vema sana...na alichosemama kilikuwa kweli....na kilithibitishwa na gwajima....ndio maana nasema tofauti ya lissu na wanasiasa wengine ambao ni vilaza ni kuwa yeye ni mkweli na muwazi.....kitu ambacho wanasiasa wengi wa kibong hawana....maana wamejawa na unafiki... na wanapendwa kwa unafiki wao....Wanasiasa bora huwa na misimamo, Tundu lissu hana msimamo, na kuonyesha he is worse than that, alivyomjibu Slaa kwa kshambulia ktk family matters badala ya hoja kaonesha ujinga wake kabisa.