'Maamuzi Magumu' na Tundu Lissu

'Maamuzi Magumu' na Tundu Lissu

Hawa mods wa jf ni vilaza kwel mada yenye mshiko na mantiki wanazi ondosha ola mada kama hizi huwa wanaziwacha kwa kweli wanavunja ari ya jf
 
Dozi ya Kingunge imekuingia.Dozi ya mabadiliko ambayo yamechelewa.Lissu ni jembe la mabadiliko!!
ila kingunge alikuwa na haraka gani kuongea leo wakati wa msiba wa siasa uliotokea asubuhi tu! connect dots.
 
Walisema babu duni ataongea na waandishi kujitoa, jana kaonekana Zanzibar, leo wamesahau hadithi, wamekuja na Tundu lissu sasa.

Ukweli unabaki, akiondoka, UKAWA inaendelea... Hata akitoka LOWASA tutambeba FREDERICK SUMAYE tutaenda katika mabadiliko.
 
Huu si wakati wa propaganda ni wakati wa mabadiliko.

Lissu anawatia jambajamba ccm.
 
Tundu lisu yuko sahihi kabisa
Afanye uamzi kqbla ya oktoba
maana mlango wa rehema wa magufuli unafungwa oktoba 25
 
Tundulisu hawez kuvumilia ukiukwaji wa misingi ya chama inayoendelea ndan ya chadomo
 
Hata atoke Mbowe sisi tunachohitaji ni MABADILIKO na mh. Lowassa
 
ETI hapa Kazi tu..Wakati viwanda vyote muhimu vimekufa e.g viwanda vya nguo, ngozi, kiwanda cha viberiti, magunia, etc umeme unakatika siku mbili mfululizo...then bado tuna nguvu ya kusema HAPA KAZI TU..Nangeshauri tubadili hii kauli mbiu yetu..
 
Habari za uhakika ni kwamba Lissu yupo katika maandalizi ya kufanya maamuzi magumu, amabayo yatabadilisha mwelekeo wa siasa za Tanzania.

Kwa muda mrefu Lissu amekuwa akitofautiana na wenzake Chadema japo hakutaka kuonekana wazi baada ya kuondoka Dr Slaa.

Habari ndani kutoka kwa wadau wake ni kwamba kuna uwezekano mkubwa akaonekana kuwa na msimamo tofauti na chama chake kwa sasa.

Habari kutoko lumumba.com
 
attachment.php

Back
Top Bottom