'Maamuzi Magumu' na Tundu Lissu

'Maamuzi Magumu' na Tundu Lissu

Kichwa cha habari ( TETESI) Maelezo; (Habari za kuaminika) Tukuelewe vipi naona ulitumwa halafu umesahau ulitumwa nini tupishe na mabadiliko yetu....
 
Kichwa cha habari ( TETESI) Maelezo; (Habari za kuaminika) Tukuelewe vipi naona ulitumwa halafu umesahau ulitumwa nini tupishe na mabadiliko yetu....

Acha kutumia officers
Tumia kiroba orijino

Unataka mabadiliko gan zaid ya kila siku anagombea maalim sef pekee?

Unataka mabadiliko gan zaid ya kupinga kuchaguliwa mwenyekit na mzee mtei?

Welcome lisu
 
lisu aamue nini unadhni na yeye ni yuda?labda aamue kuacha siasa si kwa kuongea chochote kama slaa
 
Acha kutumia officers
Tumia kiroba orijino

Unataka mabadiliko gan zaid ya kila siku anagombea maalim sef pekee?

Unataka mabadiliko gan zaid ya kupinga kuchaguliwa mwenyekit na mzee mtei?

Welcome lisu

Tatizo umetumwa hivyo unafahuta chakurejesha Kwa bwanaako kamwambie tupo bize na mikakati ya mabadiliko na c vinginevyo
 
Habari za uhakika ni kwamba Lissu yupo katika maandalizi ya kufanya maamuzi magumu, amabayo yatabadilisha mwelekeo wa siasa za Tanzania.

Kwa muda mrefu Lissu amekuwa akitofautiana na wenzake Chadema japo hakutaka kuonekana wazi baada ya kuondoka Dr Slaa.

Habari ndani kutoka kwa wadau wake ni kwamba kuna uwezekano mkubwa akaonekana kuwa na msimamo tofauti na chama chake kwa sasa.

Join Date : 26th September 2015
Posts : 26
Rep Power : 307
Likes Received21
Likes Given0​
 
Haijalishi, ila Lissu atabaki kuwa mwanasiasa mpuuzi kabisa kuwahi kutokea katika karne hii, when he had a chance to be the most influential politician of all the time

Akina mbowe wamemtumia, ametumika kuwachafua na kujaribu kuzima ndoto za akina Zitto kabwe

kachakaza elimu yake, heshima yake, kabaki anabwatuka tu, hana mbele hana nyumba , hana ideology hana theory kabaki maamuma tu


...amechakaza elimu yake kivipi man!!....Lissu is still unchanged....leo...jana na kesho...kama uhamini pata kesi alafu mtafute akusimamie uone kama atashindwa....ila umlipe vema(kama utaweza)....Lissu is still one of the best (and few) politicians this country has currently....and he will be so for long...seems you don't know the guy better...The only problem with Lissu (to many like you) is that he is very open and frank...as opposed to people like Zitto whom you happen to support....
 
Kweli ukawa wakikuambia wanataka mabadiliko wala usiwashambulie
Wanakuwa wanamaana pana sana
Wanataka mabadiliko ya wagombea kama maalim seif miak 25 yy tu

Wanataka katiba mpya ya chadema yenye kujali misingi ya kidemokrasia

Wamechoka kuburuzwa na mbowe ambae kimsing n dikteta na hawakumchagua kuwa mwenyekit wao

Pia wamechoka kuchaguliwa wenyeviti na mzee mtei


msipotoshe maana ya mabadiliko ya mwaka huu
mabadiliko sio ya mtu mabadiliko ya serikali ya chama..
hatumungunyi maneno ccm limekuwa chuo cha mafisadi na rushwa na mikataba ya kuliibia taifa ges na mafuta madini na mbuga

mabadiliko ni kuondoa adui ccm na kiajiri mfumo mpya ukawa kupitia chadema

wtz acheni kuyumbishwa na propagamda za siku zote za fisiccm ...piga kura ondoa ccm kwa faida ya vijana wako na taifa lako hapo badae
 
Lissu jisalimishe mapema katika chama cha ukombozi.
 
Mda ukifika mtaweka historia vizuri,mageuzi ya Tanzania vinara ni Seif Sharif Ahmad,Mapalala,Alex Che Mponda,Chief Fundikira,Mtikila (Rip),Alex Che Mponda,Mabere Marando,Mzee Chipaka,Momose Cheyo,Mbatia nk.Akina Lipumba,Zitto,Slaa nk walikuja 2nd phase


Umemsahau masumbuko Lamwai mkuu. Pia Mzee Kasanga Tumbo
 
nashangaa hadi sasa lissu anaishi nyumba moja na fisadi
 
Lissu fanya mabadiliko mapema achana na hao wapiga dili wanakuchafua.

Mara nyingi waliokuwa wanamponda Lisu kwa michango yake bungeni na hoja zake kali leo wanakiri alikuwa msafi!! Kumbe kumponda kote mlikokuwa mnafanya kulikuwa kwa nini? Hadi Mkulu kuna wakati akasema anapotosha sheria na hivyo anadanganya watu. Kumbe alikuwa msafi, sasa nimegundua si vizuri kuwaaamini tena kwa kauli mnazotoa.
 
Back
Top Bottom