'Maamuzi Magumu' na Tundu Lissu

'Maamuzi Magumu' na Tundu Lissu

Habari za uhakika ni kwamba Lissu yupo katika maandalizi ya kufanya maamuzi magumu, amabayo yatabadilisha mwelekeo wa siasa za Tanzania.

Kwa muda mrefu Lissu amekuwa akitofautiana na wenzake Chadema japo hakutaka kuonekana wazi baada ya kuondoka Dr Slaa.

Habari ndani kutoka kwa wadau wake ni kwamba kuna uwezekano mkubwa akaonekana kuwa na msimamo tofauti na chama chake kwa sasa.

Pesa za ccm zakuhonga zimebakia za mawakala tu wausimamizi wa ushaguzi ,wamwisho kupokea alikua ni Mkuu wa Tume jaji Lubuva lakini walio bakia kazi haikwenda vizuri si Dr Slaa wala Lipumba.
 
Ukiniambia katika watu ambao watanaopenda CCM ife mojawapo ni Tundu Lissu hivyo kadanye IT masaki.
 
Habari za uhakika ni kwamba Lissu yupo katika maandalizi ya kufanya maamuzi magumu, amabayo yatabadilisha mwelekeo wa siasa za Tanzania.

Kwa muda mrefu Lissu amekuwa akitofautiana na wenzake Chadema japo hakutaka kuonekana wazi baada ya kuondoka Dr Slaa.

Habari ndani kutoka kwa wadau wake ni kwamba kuna uwezekano mkubwa akaonekana kuwa na msimamo tofauti na chama chake kwa sasa.

Muda wa kuandika huu uongo unautoa wapi,? Hata ahame Mbowe hapa mabadiliko tuu
 
Ukiniambia katika watu ambao watanaopenda CCM ife mojawapo ni Tundu Lissu hivyo kadanye IT masaki.

Tundu lisu alipenda sana ccm ife sabab kulikuwa na mafisad asiowataka lakin kagundua sasa huko aliko ndio magisad wamepafanya maskan
Hivo hana tena budi ya kusalia huko
 
chini ya ccm, umaskini utakuwa naradufu, maradhi ndio usiseme, ufisadi utarasimishwa, rushwa itakuwa itikadi, barabara zitaendelea kuwa chini ya kiwango, huduma za kijamii zitazorota...

udugu na uzalendo vitazikwa rasmi...

# hapa ni kazi tu.
 

Attachments

  • 1444023693127.jpg
    1444023693127.jpg
    17.3 KB · Views: 403
Habari za uhakika ni kwamba Lissu yupo katika maandalizi ya kufanya maamuzi magumu, amabayo yatabadilisha mwelekeo wa siasa za Tanzania.

Kwa muda mrefu Lissu amekuwa akitofautiana na wenzake Chadema japo hakutaka kuonekana wazi baada ya kuondoka Dr Slaa.

Habari ndani kutoka kwa wadau wake ni kwamba kuna uwezekano mkubwa akaonekana kuwa na msimamo tofauti na chama chake kwa sasa.

unahaha utasema sindamo imekatikia takoni,kukaa unatamani,kusimama unatamani!! tulia usikilizie utungu wa jipu
 
bado siku 20 mabadiliko yatimie


Kweli ukawa wakikuambia wanataka mabadiliko wala usiwashambulie
Wanakuwa wanamaana pana sana
Wanataka mabadiliko ya wagombea kama maalim seif miak 25 yy tu

Wanataka katiba mpya ya chadema yenye kujali misingi ya kidemokrasia

Wamechoka kuburuzwa na mbowe ambae kimsing n dikteta na hawakumchagua kuwa mwenyekit wao

Pia wamechoka kuchaguliwa wenyeviti na mzee mtei
 
Lissu amekuwa 'mchezaji mtiifu' wa Mbowe hata Mbowe hakutegemea..
Mbowe hakutegemea Lissu angeweza kukubali 'orders' bila kuuliza

jambo hili limenishangaza sana.. maana mnyika ameonekana ana maana kuliko.. lissu..sihasa hizi...
 
uongozi wa jf. mtafuteni lissu . ili ijulikane.. nafikiri inakuwa busara...
 
🎶🎼🎶🎵Mtasubirriiiiii sana na bado🎼 Msaga Sumu
 
Hahahahaa...kumbe Lissu mnampenda pamoja na mkuu wa kaya kusema bora Lema aingie bungeni lakini sio Lissu!!!.....subirini kichapo tuu trh 25 oct....
 
Saw a lakin mabadiliko lazima hats pasipo lisu
 
Waseme nn maji shingoni wamebaki kutapatapa na kuzusha uongo. Dawa aliyo wapa kingunge imewalevya
 
Wakati wa mabadiliko ukifika vi propaganda uchwara kama vyako mtoa mada uwa haviwezi kubadili upepo,Hosni Mubarak wa Misri alikuwa na the best military in Africa na aliwaweka vizuri sana wanajeshi lakini mda wa mabadiliko ulipofika ata jeshi lilishindwa kuzuia mafuriko ya Umma...Ccm Out

Unaongea kishabiki shabiki..unajua misri na Tanzania wana historia tofauti na.mazingira Yao ya kijamii na kisiasa ni tofauti kabisa...bora ungesema Burkina Faso kidoooogo...siyo misri..
Ukweli muda wa mabadiliko ukifika Umefika hii sikatai na jwtz ni jeshi la wananchi siyo chama tawala ILA MABADILIKO HAYO LAZIMA YAWE NA DHAMIRA YA DHATI NA YANAONGOZWA NA MWANAMABADILIKO HALISI NA SIYO SANAA NA WASANII NA MLAFI NO. 1 LOWASSA
Hapo CCM inarudi madarakani subirini tena 2020


Nb: wakati.wa mabadiliko ya kweli uchaguzi uwa hauna ushindani ni landslide kwa wanamabadiliko..hapa CCM n ukawa wanachuana hii siyo dalili ya kukubalika kwa hayo mabadiliko, wananchi bado hawajaamini hayo mabadiliko feki ndiyo maana kuna kampeni Kali..
 
Back
Top Bottom