Maalumu kwa akina dada/ wanawake tu.........!

Ngoswe11

Member
Nov 19, 2010
87
24
Wapendwa wana JF Dada's , Heshima yenu nyote ....... shikamooooo!

Mie naomba kuuliza au kufahamishwa nafasi ya uvaaji wa nguo ya ndani = ch.u.p.i na bra katika kuhamasishwa tendo la ndoa kwa mpenzi wako i.e boyfriend, hubby n.k. Je ni kweli rangi ya chu.pi ina nafasi ktk kuamsha ari kwa mpenzi wako? Au rangi ya bra unayovaa?

NB: katika utafiti wangu mdogo nilioufanya (size of the sample was small, was not enough to lead me to generalize my study) imeonyesha kuwa wanawake wanapendelea sana kuvaa chu.pi rangi nyeupe/ most of them japo sio wote, na pia hupenda kuvaa bra nyeusi. Je nini hasa sababu ya nyie wadada kuvaa chu.pi nyeupe na sio nyekundu au pink? Au kuvaa bra nyeusi instead of white or pink, blue n.k

Naomba msinishambulie wapendwa akina dada's ndio maana nimekuja kwa heshima na upole (rejea hapo juu). Natanguliza shukrani kwa michango yenu na naamini pia hii itatoa somo kwa akina dada wengi kuwa wapendelee kuvaa chu.pi za rangi gani au bra zipi na kwa sababu zipi.

Nawaheshimu sana dada zangu wote hapa Jf.

Siku njema na kazi njema.
 
Marhaba Ngoswe...

Dah! hii topic... michango yaja, mimi nirarudi baadae... ila tu ndio aina na rangi ya matter...
 
Marhaba Ngoswe...

Dah! hii topic... michango yaja, mimi nirarudi baadae... ila tu ndio aina na rangi ya matter...[/QUOTE]

sorry, Ngoswe, pamoja na dada zangu,
najua kidume mie sihitajiki hapa,
lakini nina angalizo dogo tu........................
unaonaje Ngoswe ukiongezea kuuliza kwa kusema,
je, hizo rangi za chupi na uvaaji wake, pia zinaendana na menstrual cycle (period) zao au...........?????
kuna mtu nilimnunulia za blue na nyeusi lakini naona kaziweka mchagoni, sijui nini sababu wajameni....................

Samahani wapendwa, ni katika kujifunza tu!Pole kama umekwazika
BWANA YESU ASIFIWE SANA!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Marhaba Ngoswe...

Dah! hii topic... michango yaja, mimi nirarudi baadae... ila tu ndio aina na rangi ya matter...

Dah asante sana kwa kutujuza hilo, lakini unaweza fafanua jibu lako? rangi ipi hasa ina-matter na wapi na ni wakati gani? kama hutojali tutafurahi kusikia kutoka kwako dada yetu mpendwa!
 
sorry, Ngoswe, pamoja na dada zangu,
najua kidume mie sihitajiki hapa,
lakini nina angalizo dogo tu........................
unaonaje Ngoswe ukiongezea kuuliza kwa kusema,
je, hizo rangi za chupi na uvaaji wake, pia zinaendana na menstrual cycle (period) zao au...........?????

Samahani wapendwa, ni katika kujifunza tu!Pole kama umekwazika
BWANA YESU ASIFIWE SANA!!!!!!!!!!!!!!!!!

usiogope kwani uzoefu unatuambia hapa janvini topic zote zinapitiwa na kuchangiwa na watu wa jinsia zote hata kama ukispecify jinsia,.....wewe jimwaege tu -------aaaaaaaaaaaah! hata mm nilikua napita tu. am sorry
 
sorry, Ngoswe, pamoja na dada zangu,
najua kidume mie sihitajiki hapa,
lakini nina angalizo dogo tu........................
unaonaje Ngoswe ukiongezea kuuliza kwa kusema,
je, hizo rangi za chupi na uvaaji wake, pia zinaendana na menstrual cycle (period) zao au...........?????

Samahani wapendwa, ni katika kujifunza tu!Pole kama umekwazika
BWANA YESU ASIFIWE SANA!!!!!!!!!!!!!!!!!

Bacha maoni yako mazuri, ila the way umeuliza hio kitu kama vile una infor
ulipata mahali ya kushare.. please do..lol I know Ngoswe hata mind si ataka kujua..lol
 
Dah asante sana kwa kutujuza hilo, lakini unaweza fafanua jibu lako? rangi ipi hasa ina-matter na wapi na ni wakati gani? kama hutojali tutafurahi kusikia kutoka kwako dada yetu mpendwa!

Sijali dear naomba tu nivumililee....
 
sorry, Ngoswe, pamoja na dada zangu,
najua kidume mie sihitajiki hapa,
lakini nina angalizo dogo tu........................
unaonaje Ngoswe ukiongezea kuuliza kwa kusema,
je, hizo rangi za chupi na uvaaji wake, pia zinaendana na menstrual cycle (period) zao au...........?????

Samahani wapendwa, ni katika kujifunza tu!Pole kama umekwazika
BWANA YESU ASIFIWE SANA!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu nakushukuru sana kwa kuliona hilo, naamini walengwa wa swali watakusoma vizuri sana kaka, hivyo hata mie nategemea pia katika ule muktadha wa rangi ipi inafaaa na ni kwanini na wapi hasa ina-matter , hayo majibu nadhani watatuelimisha hawa dada zetu. Uzuri wa dada's zetu wa Jf they are here to teach us , I real appreciate them.
 
Bacha maoni yako mazuri, ila the way umeuliza hio kitu kama vile una infor
ulipata mahali ya kushare.. please do..lol I know Ngoswe hata mind si ataka kujua..lol

Ni kweli kabisa, nitafurahi kujua na hilo kama pia lipo ktk uzingatiaji wa hilo jambo!
 
Bacha maoni yako mazuri, ila the way umeuliza hio kitu kama vile una infor
ulipata mahali ya kushare.. please do..lol I know Ngoswe hata mind si ataka kujua..lol

Asha mpenzi, sio kwamba nina information already,
hapana, kiukweli kama ningekuwa nazo isingekuwa busara,
mie kuuliza tena hapa jamvini.....lol....
Unajua kuna mtu nilimnunulia za rangi ya blue na nyeusi lakini sioni akizivaa ati,
hebu nisaidie hapa Asha wangu.....lol...........
 
Sory kuwaingilia madada but i have something to say!Kwa upande wangu ili mdada anihamasishe na rangi ya "kufuli" au bra inategemea na rangi ya ngozi yake,mfano akiwa mweupe halafu akapigilia kufuli na bra black ebanaee mzee mzima nitaanza kuhema ka nimetoka kwenye mbio z marathon huwa napagawa sana!
 
Wapendwa wana JF Dada's , Heshima yenu nyote ....... shikamooooo!

Mie naomba kuuliza au kufahamishwa nafasi ya uvaaji wa nguo ya ndani = ch.u.p.i na bra katika kuhamasishwa tendo la ndoa kwa mpenzi wako i.e boyfriend, hubby n.k. Je ni kweli rangi ya chu.pi ina nafasi ktk kuamsha ari kwa mpenzi wako? Au rangi ya bra unayovaa?

NB: katika utafiti wangu mdogo nilioufanya (size of the sample was small, was not enough to lead me to generalize my study) imeonyesha kuwa wanawake wanapendelea sana kuvaa chu.pi rangi nyeupe/ most of them japo sio wote, na pia hupenda kuvaa bra nyeusi. Je nini hasa sababu ya nyie wadada kuvaa chu.pi nyeupe na sio nyekundu au pink? Au kuvaa bra nyeusi instead of white or pink, blue n.k

Naomba msinishambulie wapendwa akina dada's ndio maana nimekuja kwa heshima na upole (rejea hapo juu). Natanguliza shukrani kwa michango yenu na naamini pia hii itatoa somo kwa akina dada wengi kuwa wapendelee kuvaa chu.pi za rangi gani au bra zipi na kwa sababu zipi.

Nawaheshimu sana dada zangu wote hapa Jf.

Siku njema na kazi njema.

Mambo ya NGOSWE mwashie NGOSWE mwenyewe.
 
My self I'd like my girl to wear a pink underwear and leather high heels.
 
Rangi ya chhhhp na braaaaaa inategemea na mapenzi au utashi wa mtu.
ila kiukweli wadada wengi twapenda white colour ili kumwonyesha mpenzi kiwango cha usafi.
LOL
Halaf pia mdada msafi hata akiwa katk mambo ye2 ya mwezi humkuti kakuvalia black kama kweli anamaanisha usafi maana huo ndo muda wa kudhihirisha that im real msafi.
Ukipiga kitu black kipind cha mwandamo wa mwezi hata jamaa atahisi hujui kufua vizuri sooooooooooo........
NI MTAZAMO TUUUUUUUU JAMANI WANA JAMVI.

mapenzi yangu
 
Nyeupe inahamasisha usafi..na kujiamini ...
Nyekundu kweli ni romantic hasa mvaaji akichangua yenye mvuto mashallah
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom