N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,829
- 9,538
- Thread starter
- #61
Duh mwaka 77! long timeumenikumbusha miaka ya 1977 asubuhi wakati mnakamua maziwa viazi vinakuwa tayari kwenye moto aina kikome ukimaliza kukamua unachukua maziwa yako na viazi maziwa ni mabichi hakuna kuchemsha wala nini ukitoka hapo tumbo limejaa ukienda kuchunga usingizi wake maziwa yameganda tumboni ni full kusinzia ukijisahau mifugo iparamie mazao ya watu utapewa bakora za kutosha jioni unakutana nazo tena nyumbani