Maalim Seif ni tatizo CUF

Maalim Seif ni tatizo CUF

kabisa imefikia hatua mpaka mbowe anamgeuka mwanzoni alikuwa anamshirikisha prof.baada ya kuona ana misimamo ambayo inapingana na matakwa ya chadema anaamua kumburuza seif ambaye yeye anawaza kusaidiwa zanzibar achukue dola!!ndo maana prof. Alisema ameamua kujiuzulu kutokana kuonekana kikwazo kwny ukawa!!picha inaendelea......!wenye akili wachache watamuelewa lipumba ila vichwa maji watabaki kusema amepewa hongo!!

Sultani seif shariff hamad ndio kila kitu cuf, kama usultani wake ulivyo tangu chama kiundwe na ndivyo anavyokiendesha mpaka kitakapofika mwisho wake, hii ndio sura mbaya ya vyama vingi vya upizani kuwa na masultani wanaoendesha vyama kwa mkono wa chuma,
 
Seif ka komaa kujenga cuf visiwani kiasi cha chama kukomba majimbo yote ya pemba, lipumba kafanya nini bara?!
 
teh teh teh..kwani wewe ni nyumbu au ni uamsho!!..(usikasirike lakini nauliza tu kwa roho safi)

hofu ya nini mbona haitii hasira mkuu, majibu ya swali lako kunihusu anayo mama yako, ndiye msiri wangu (ni matarajio yangu uta-teh teh teh tena)
 
Seif kama katibu amefanikiwa kuwa na wabunge wengi huko visiwani
Prof. Lipumba mwenyekiti wa chama amefanikiwa kuwa na wabunge 1 sijui 2 bara licha ya kuwa na majimbo mengi zaidi ya z'bar
Sasa huyu ni kiongozi gani Hana ushawishi hata wa kuwasaidia watia wake
 
Hakuna asiefaham kwamba wewe binafsi na roho yako ulitaka siku1 Prof. Lipumba aseme hivyo ulivyo mtazamo wako ili onekane kwa maalim seif awe ni mtu wa hivyo ulivyomfikiria. hii ni interest yako tu na chuki zako tu dhidi ya maalim seif.

Lakini kuna mambo ya kuyazingatia kama ifuatavyo:-
1. Prof. Lipumba kwanini hakujiuzulu siku zote hizo lakini alikuja kujiuzulu siku1 tu baada ya UKAWA kumtangaza Lowassa kugombania Urais kwa ticket ya Ukawa?

2. Je pia unataka kuniambia Dr. Slaa naye pia ana elements kama ulizozifikiria wewe kwa Lipumba dhidi ya CUF na Maalim Seif? mana baada ya CHADEMA tu kumpokea Lowassa na kumtaka achukue form ya urasi kwa Ukawa ni siku ile ile tu wala haikuzidi Dr Slaa aliingia mitini, kabla ya hapo Dr Slaa akihudhuria vikao vya Ukawa usiku na mchana.

3. Lakini kama haitoshi lipumba alipojiuzulu kwanini aligusia kuhusu Lowassa kupiga kura ya NDIO kwenye katiba pendekezwa wakati Ukawa ilipiga hapana? pia kwa hoja unataka kutuaminisha kuna sababu nyengine ambazo wewe na Prof. Lipumba munazifikiria ili kuja hadharani siku1 mkitamani kumsema maalim Seif na kuivuruga CUF?

5. Maalim Seif Sharif Hamad ni kiongozi wa umma na kwa silimia 100% anaiwakilisha Zanzibar kupitia Upinzani, Wazanzibari wenyewe ndio waliomkubali Maalim Seif lakini tunashindwa kufahamu watu nje ya Zanzibar wanakuja na hoja kutoka katika mawazo yao kujaribu kuipotosha CUF lakini ni jambo ambalo miaka nenda miaka rudi CUF bado inapaa na kukua kila siku.
 
Ndio amekuwa mtoaji wa maamuzi ndani ya Cuf kwa kuingilia madaraka ya mwenyekiti hili ndilo lililomuondoa Prof Lipumba katika uenyekiti, ameua cuf bara kwa maslahi Zanzibar, ruzuku ya chama yote kwa 80% imepelekwa zanzibar.

Prof Lipumba alikuwa anataka kujua maslahi ya cuf ndani ya ukawa kuhusu ruzuku itokanayo na kura za urais. Lipumba ana Mengi moyoni hajayasema tuvute muda.

et ccm kwsha, kwisha kbs huku kumbe linatumiwa na njemba,domo kubwaaa!anatumika,anakanakatwaaa!
 
Majungu na uchochezi havijengi. Hizi ndio siasa za chuki.
 
Nendeni huko ma ccm nyie Hamna lolote mmekwisha mwaka huuuuuu.
 
Seif sio saizi yao hao...watapambana na jussa tu awatosha. Mara hii mtazua kila kitu lakini ukawa inaingia ikulu
 
Seif ni mwinyi. Yaani ni dikteta na mbinafsi

Sijui una umri gani au unafahamu chochote, kuhusiana na mambo ya kisiasa, ngoja nikujulishe jambo moja dogo sana Maalim seif ni mwanasiasa pekee katika nchi hii ambae ana mtaji wa kudumu wa kiaiasa usio filisika, nao ni watu! Wanaongezeka kila kukicha, na baadhi yao wapo tayari kwa lolote lile hata kama gharama itakua uhai wao,sithani kama kuna kiongozi utakae mfananisha nchi hii,wacha ushabiki.
 
Ndio amekuwa mtoaji wa maamuzi ndani ya Cuf kwa kuingilia madaraka ya mwenyekiti hili ndilo lililomuondoa Prof Lipumba katika uenyekiti, ameua cuf bara kwa maslahi Zanzibar, ruzuku ya chama yote kwa 80% imepelekwa zanzibar.

Prof Lipumba alikuwa anataka kujua maslahi ya cuf ndani ya ukawa kuhusu ruzuku itokanayo na kura za urais. Lipumba ana Mengi moyoni hajayasema tuvute muda.
Hakuna asiefaham kwamba wewe binafsi na roho yako ulitaka siku1 Prof. Lipumba aseme hivyo ulivyo mtazamo wako ili onekane kwa maalim seif awe ni mtu wa hivyo ulivyomfikiria. hii ni interest yako tu na chuki zako tu dhidi ya maalim seif.

Lakini kuna mambo ya kuyazingatia kama ifuatavyo:-
1. Prof. Lipumba kwanini hakujiuzulu siku zote hizo lakini alikuja kujiuzulu siku1 tu baada ya UKAWA kumtangaza Lowassa kugombania Urais kwa ticket ya Ukawa?

2. Je pia unataka kuniambia Dr. Slaa naye pia ana elements kama ulizozifikiria wewe kwa Lipumba dhidi ya CUF na Maalim Seif? mana baada ya CHADEMA tu kumpokea Lowassa na kumtaka achukue form ya urasi kwa Ukawa ni siku ile ile tu wala haikuzidi Dr Slaa aliingia mitini, kabla ya hapo Dr Slaa akihudhuria vikao vya Ukawa usiku na mchana.

3. Lakini kama haitoshi lipumba alipojiuzulu kwanini aligusia kuhusu Lowassa kupiga kura ya NDIO kwenye katiba pendekezwa wakati Ukawa ilipiga hapana? pia kwa hoja unataka kutuaminisha kuna sababu nyengine ambazo wewe na Prof. Lipumba munazifikiria ili kuja hadharani siku1 mkitamani kumsema maalim Seif na kuivuruga CUF?

5. Maalim Seif Sharif Hamad ni kiongozi wa umma na kwa silimia 100% anaiwakilisha Zanzibar kupitia Upinzani, Wazanzibari wenyewe ndio waliomkubali Maalim Seif lakini tunashindwa kufahamu watu nje ya Zanzibar wanakuja na hoja kutoka katika mawazo yao kujaribu kuipotosha CUF lakini ni jambo ambalo miaka nenda miaka rudi CUF bado inapaa na kukua kila siku.

Hamad Rashid alikuja na mtazamo na fikra kama za kwako lakini hakuna aliyemsikiliza Wazanzibari wameendelea kuunganika kumsupport Maalim Seif. Na kwa taarifa yako tu October Inshaalah utapata majibu muruwa.
 
Ndio amekuwa mtoaji wa maamuzi ndani ya Cuf kwa kuingilia madaraka ya mwenyekiti hili ndilo lililomuondoa Prof Lipumba katika uenyekiti, ameua cuf bara kwa maslahi Zanzibar, ruzuku ya chama yote kwa 80% imepelekwa zanzibar.

Prof Lipumba alikuwa anataka kujua maslahi ya cuf ndani ya ukawa kuhusu ruzuku itokanayo na kura za urais. Lipumba ana Mengi moyoni hajayasema tuvute muda.

Unanyege ?
 
Ellson acha umbea haukupendezi umelipwa ngapi Na CCM ? Mambo ya CUF waachie wenyewe mbona nyie mchakato Wa Dodoma sie hat use I Makamu Wa Rais Na Waziri Mkuu mmewakata eti hawana Maadili ya Chama in kweli au kutaka kumweka rais wa familia?
Umeninukuu vibaya Mkuu. Mimi CCM wapi na wapi!!?
 
Hakuna anae weza kumuondoa maalim maalim amekubalika na wazanzibari wote acheni uccm nyie .
 
Back
Top Bottom