Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,041
- 2,417
Ma ccm wanaruka juu na kujikanyaga yenyewe... nguvu ya wadai haki ni nguvu ya Mungu.... ubaladhuli wenu utashindwa...
Sitakuvumilia. Acha nikwambie ukweli. Wewe ni msukule.
Ndio amekuwa mtoaji wa maamuzi ndani ya Cuf kwa kuingilia madaraka ya mwenyekiti hili ndilo lililomuondoa Prof Lipumba katika uenyekiti, ameua cuf bara kwa maslahi Zanzibar, ruzuku ya chama yote kwa 80% imepelekwa zanzibar. Prof Lipumba alikuwa anataka kujua maslahi ya cuf ndani ya ukawa kuhusu ruzuku itokanayo na kura za urais. Lipumba ana Mengi moyoni hajayasema tuvute muda.
Cuf ni mali ya seif hata akifanya madudu kiasi gani hakuna wa kumnyoshea kidole ni kama alivyo mbowe kwa chadema vile ni vyama vyao mwingine unatakiwa kufuata wanachotaka.Ni rahisi kumng'oa Mrema Tlp au Cheyo UDP kuliko kumng'oa Seif Cuf.
Lipumba kapewa nafasi ya kugombea tangia 1995 kachemka,ata sasa alitaka yeye ndiye awe mgombea !!alivyopitishwa EL kama yule mwingine akasusa.SS Ahamad si tatizo ata kidogo