Lipumba kapewa nafasi ya kugombea tangia 1995 kachemka,ata sasa alitaka yeye ndiye awe mgombea !!alivyopitishwa EL kama yule mwingine akasusa.SS Ahamad si tatizo ata kidogo
Bora akaenayo moyoni mwake tu, hakuna wakumsikiliza yeye kwa sasa, wengi tunamuona Lipumba kama msaliti pandikizi la CCM.Ndio amekuwa mtoaji wa maamuzi ndani ya Cuf kwa kuingilia madaraka ya mwenyekiti hili ndilo lililomuondoa Prof Lipumba katika uenyekiti, ameua cuf bara kwa maslahi Zanzibar, ruzuku ya chama yote kwa 80% imepelekwa zanzibar. Prof Lipumba alikuwa anataka kujua maslahi ya cuf ndani ya ukawa kuhusu ruzuku itokanayo na kura za urais. Lipumba ana Mengi moyoni hajayasema tuvute muda.
Ndio amekuwa mtoaji wa maamuzi ndani ya Cuf kwa kuingilia madaraka ya mwenyekiti hili ndilo lililomuondoa Prof Lipumba katika uenyekiti, ameua cuf bara kwa maslahi Zanzibar, ruzuku ya chama yote kwa 80% imepelekwa zanzibar. Prof Lipumba alikuwa anataka kujua maslahi ya cuf ndani ya ukawa kuhusu ruzuku itokanayo na kura za urais. Lipumba ana Mengi moyoni hajayasema tuvute muda.
Watu wengine tunaijua sana historia ya CUF (tangu KAMAHURU na CCW), Maalim Seif, Prof. Lipumba na UKAWA. Suala la madai ya ruzuku ndani ya CUF linaweza kuwa insignificant kwa sababu sheria na. 5 ya vyama vya siasa (1992) inatamka wazi kuwa determinant ya ruzuku za vyama ni proportion ya kura za wabunge na idadi/vichwa vya wabunge wa chama husika ndani ya Bunge, siyo kura za urais. CUF bara ina wabunge wawili wanaobaki wote wanatoka Pemba na mmoja Unguja. Kwa hiyo ruzuku nyingi ikipelekwa Zanzibar ni kwa sababu/rationality ya wingi wa viti vya wabunge kutoka Pemba/Zanzibar. Prof. Lipumba yeye anapenda kugombea urais tu; mikakati yake ya kujenga chama bara imekuwa si sahihi. Siamini kuwa kwa kiwango cha Profesa, Bwn. Lipumba alikuwa hajui anafanya nini! Maalim Seif yuko sahihi pia.
Aidha suala la mgawanyo wa ruzuku ndani na baina ya vyama washirika wa UKAWA lilikwishajadiliwa na kikundi cha watalaam washauri wa UKAWA na kufanyiwa maamuzi na Summit ya UKAWA. Hivyo ruzuku isingekuwa suala hata kusababisha Mh. Lipumba ajiuzulu kwa kisingizio hicho (kama unavyotaka kuaminisha umma). Si muda mrefu kila kitu kitakuwa hadharani na watanzania watapata fursa ya kujua sababu halisi za Prof. Lipumba kujiuzulu uenyekiti CUF.
Tusubiri kidogo
Hata maalim Seif kagombea tangu 1995.
Ndio amekuwa mtoaji wa maamuzi ndani ya Cuf kwa kuingilia madaraka ya mwenyekiti hili ndilo lililomuondoa Prof Lipumba katika uenyekiti, ameua cuf bara kwa maslahi Zanzibar, ruzuku ya chama yote kwa 80% imepelekwa zanzibar. Prof Lipumba alikuwa anataka kujua maslahi ya cuf ndani ya ukawa kuhusu ruzuku itokanayo na kura za urais. Lipumba ana Mengi moyoni hajayasema tuvute muda.
Ndio amekuwa mtoaji wa maamuzi ndani ya Cuf kwa kuingilia madaraka ya mwenyekiti hili ndilo lililomuondoa Prof Lipumba katika uenyekiti, ameua cuf bara kwa maslahi Zanzibar, ruzuku ya chama yote kwa 80% imepelekwa zanzibar. Prof Lipumba alikuwa anataka kujua maslahi ya cuf ndani ya ukawa kuhusu ruzuku itokanayo na kura za urais. Lipumba ana Mengi moyoni hajayasema tuvute muda.
mbona sasa inakula kwenu. ukawa ni mkorogo wapo nyumbu wa kusaka malisho na wendawazimu wa imani ya dini uamsho. wenye misimamo ya hoja na sera wanaingia mitini.haa haa mpango wa sasa ni kuiondoa kwanza ccm.mengine baadae..
mbona sasa inakula kwenu. ukawa ni mkorogo hatari, wapo nyumbu wa kusaka malisho na wendawazimu wa imani ya dini uamsho. wenye misimamo ya hoja na sera wanaingia mitini.haa haa mpango wa sasa ni kuiondoa kwanza ccm.mengine baadae..
mbona sasa inakula kwenu. ukawa ni mkorogo wapo nyumbu wa kusaka malisho na wendawazimu wa imani ya dini uamsho. wenye misimamo ya hoja na sera wanaingia mitini.
Jambo usilolijua ni vyema uwe kimya tu utazame nankusikiza wengine wakiongea...
Hebu tafuta mawaidha ya Prof. Lipumba aliokuwa akiwaaminisha waumini wenzake juu ya yeye kuwa rais ajaye...
Sasa dili lake lote limezingua hivyo kaamua kuinusuru nafsi yake...