ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 610
- 1,540
Leo tarehe 22/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amewasili kisiwani Pemba kuhudhuria Mkutano wa Kufunga Kampeni Kisiwani humo katika viwanja vya Tibirinzi Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Katika msafara wake Maalim Seif ameambatana na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ndugu, Nassor Mazrui, Katibu wa Idara ya Habari na Uenezi Ndugu, Salim Bimani na Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Ismail Jusa.
Abeid Khamis Bakar
Afisa Habari na Uenezi
ACT Wazalendo Zanzibar.