jabali gumu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 229
- 45
Siwezi kushangaa kusikia Maal Seif kutoa kauli kama hiyo.Matatiro huko ulipo sipo.
Ngoma bado mbichi huyo ndiyo maalim nadhani wazanzibar wamemsuta kuungana na makfir chadema ingekuwa ni kuitukana zanzibar.
Mko wapi nyie macdm leo kujeni hapa kumjibu maalim nyie au leo nuku 4 hakuna uko bavicha, nilijua tuu na nikasema UKIONA BABA ANAMPENDA MTT WA KAMBO UJUE ANAMPENDA MAMA YAKO shame chadema hamna sera kaendeleeni kuvuta bangi zenu chooni muwape raha wake zenu
Msimamo mzuri ndugu yangu Maalim Seif mpenda madaraka sema umeongea point za msingi chadema walikuwa hawapendi cuf na wanasema cuf ni chama cha zanzibar kwahiyo sio chama cha tanzania cuf imefunga ndoa na ccm matusi mingi sana leo mnataka support ya cuf?huyu Maalim Seif I used to like him before lakini nilikuja kugundua kama anapenda madaraka tu sio kama yupo kwa maslahi ya wazanzibar iwezekani miaka yote yeye tu ndie anataka kugombea Urais kama hakuna watu wengine tafakari
Wakati umefika sasa Maalim
Seif awekwe pembeni watu waendelee na program, sio mpizani wa kweli ni
mpenda madaraka tu.
Mko wapi nyie macdm leo
kujeni hapa kumjibu maalim nyie au leo nuku 4 hakuna uko bavicha,
nilijua tuu na nikasema UKIONA BABA ANAMPENDA MTT WA KAMBO UJUE
ANAMPENDA MAMA YAKO shame chadema hamna sera kaendeleeni kuvuta bangi
zenu chooni muwape raha wake zenu
Sasa ngoma imeingia patamu. Sijui CHADEMA watakuja na lipi la kutueleza
teh teh, mkuu hana uzalendo wowote bali maslahi binafsi yanamsumbua, ni posho na marupurupu anayopata toka smz!Mkuu, hilo siamini. kwangu namuona Maalim seif ni mzalendo na mpenda amani hasa alivyoamua kuridhiana na Karume. yale yalikuwa maamuzi magumu sana japo wengi walibeza. pia amedhihirisha kuwa yeye si mnafiki
afadhali chama kinachohonga viongozi kuliko kinachohonga wapiga kura tena kwa kanga,pilau, nyama na hata wali wakati wa uchaguzi mkuu!Mkuu, naona wewe unafurahia sana chama kinachohonga honga hovyo viongozi wa vyama vingine. hujui kama wanawatumia tu kama mipira ya kiume
I support you Mkuu. Ila nadhani uroho wa madaraka ni kasumba ya wanasiasa wengi wa kiafrika. Mwone hata mwenyekiti wake alivyong'ang'ania nafasi ya mwenyekiti