Maalim Seif Hamad apinga CUF kuungana na CHADEMA

Maalim Seif Hamad apinga CUF kuungana na CHADEMA

  1. Lakini maalimu Seif akumbuke hakuna uadui ktk siasa ila kuna propaganda aangalie Kenya vyama vilivyopingana lakini mwishoni vikaungana ili kutimiza malengo yao.NAomba tumuulize je SUK ambayo CUF Imeungana na CCM walikuwa marafiki?Si ndo hao walishirikiana na Yule jamaa Omari wa Mahita kuleta majambia feki eti wakisema ni ya CUF,wakajenga hoja kuwa ni cha kidini na kigaidi hadi kikaporomoka kiasi hiki?Iliposemekana CUF walishinda uchaguzi kukatokea matatizo makubwa sana hadi Tz ikazalisha wakimbizi kwa mara ya kwanza?Kama ndo hao hao CCM walianzisha yote hayo leo hii yupo pamoja nao ..ni lipi kubwa CDM walotenda ata wasikubalike ktk usirika?Na jee hayo wanayolalamikia ni kwa faida ya watu wote au ni chama pekee.Maalimu asiogope hawezi kupoteza ulaji alonao mbona?Kutoshiriki vikao ni haki yake kidemokrasia labda kama chama chake kitaamua vinginevyo.

Maalim seif ajue kuwa yeye ndio aliyeifikisha CUF mahali pa kulaaniwa na CDM..hakuna wa kuiondoa hiyo laana zaidi ya CDM....Hata wazenj wanajua na wanasubiri kwa hamu sana siku CUF itafanya wayafanyayo CDM....

CCM wenyewe huwa wanafurahi sana Mbowe au Dr. SLaa akitoa neno au kukubali chochote chao....."Tunaweza CDM waseme neno moja tuu na roho za CCM na wake zake ziweze pona."
 
Kama ni kweli kaongea yawezekana ni uoga wa kunyimwa pension kama Mrema.....!!

Huyo anaeandika upuuzi huo ni muongo, viongozi wa cuf wanaunga mkono msimamo wa wabunge wake kuungana na chadema, hata jussa juzi katika mkutano KAMPONGEZA TUNDU LISSU.
 
Aliyefukuzwa (kwa kutolewa nje ya ukumbi wa bunge kwa amri ya kiti) ni KUB ambaye ni Mbowe - Chadema! Vyama vingine vya upinzani vilifuata na kutoka nje kuonesha kuungana mkono na Chadema; Sasa napata shaka moja wanaosema Chadema inajipendekeza kwa CUF naombeni ufafanuzi nahisi nimepotea hapa.

Lakini pia nadhani Maalim angekuwa na point hasa kama angeitisha chombo husika cha chama chake na kupitia chombo hicho wakaja na maelezo haya. Lakini ikiwa mleta habari amepata habari ya uhakika ni wazi hapo hakuna chama bali ni Maalim ndiye CUF na CUF ndiye maalim. Hii ni hatari sana ni jambo ambalo limekuwa likinipa shaka sana juu ya umakini wa CUF kama chama hasa inapokuja uchaguzi mkuu, kila uchaguzi mkuu tangu kuwepo kwa CUF mgombea kwa upande wa Zanzibar ni Maalim sina hakika kwa bara kama tangu wakati huo ni Lipumba.

Hii kwa wenye akili ya kawaida tu ina maana kwamba CUF haina mtu makini yeyote zaidi ya Maalim!

Mwisho napenda kuamini kwamba Maalim ni mwoga tu anahofia kwa kete hii ya katiba Chadema itaweza kusimamisha miguu yake sawia huko Zanzibar na ndio unaweza kuwa mwisho wa CUF na 'kamuhogo' ka Maalim. Woga huu si mbaya hata hivyo kwa mtu mwenye kujali maslahi binafsi kwa uwazi kama Maalim
 
Nipo very confident ktk hii theory yangu:CUF wanawahitaji sana CDM ili wapone....CDM watawahitaji CUF kidogo sana ili kuingia pemba...Ila CUF wana tamaa, wapo tayari kabisa kutafuta udugu kwa CCM kupiti audini wao...kuliko CDM kuwa na share Zenj...CUF wana Challenge ama wafe na CCM na kuumiza roho za wazenj km kawa, ama washirikiane na CDM ili kuwaondolewa laana(Uliberali+CCM B) huku wakishuhudia CDM ikiwa no moja zenj in seconds...na CUF kwenda number mbili.

CUF wakitaka wakacha CDM basi wakatae serikali 3, kitu kitakachowaua kabisa Zenj na bara.Ila wakikubali serikali 3 basi hawataweza watoa CDM ktk equation.Hii ni challenge CUF hawajaonyesha uwezo....Wazenj wana machungu CUF imeawaangusha ktk serikali ya Umoja, waliokufa walikufa in vein kwani CUF hata haiwakumbuki, na CUF waliingia ktk kitu kigumu kumeza mahusiano na uliberali......pamoja na tabia zao bungeni.....CUF hawajweza tumia mahakama na umma km CDM, CUF hawajaweza jibu hoja muda mrefu km CDM.CUF wanahngaika kuch ana vitu vya kurukiarukia...
 
MZEE SASA NDIO TUNAKUBALI Tetesi ZA WATU WA CCM KUWA SIASA ZAKO NI ZA chuki,YAANI SIASA ZA MAJUKWAANI TENA ZENYE MUELELEKEO WA KUNYA NA KUKUSTUA KWAMBA CCM INADANDIA KAFU ISIPOTEZE DOLA WEYE UMENG'ANG'ANA KAMA CHALII WAKATI WE MTU MZIMA TENA SI UTUUZIMA WA KUTUGAWIA BUSARA NA SUBIRA.MUUNGANO WAO UNAJULIKANA "SIO WA KISERA ILA WA KI MKAKATI ZAIDI"
 
Alikuwaga Ngagari saivi keshatulizwa na CCeM huyo,Mara ngapi kaachia URA-his huku akiwa mbele kwa kura.
 
Anawavuruga wenzie ili aendeleze ulaji. Hana lolote.!CHEZEA MAALIM WEWE.
 
Chadema ni Chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

CUF ni chama cha Pemba...
 
bahati mbaya sana CUF muda si mrefu watakuwa immense pressure kuiga ya CDM...na huko kutawafanya washindwe jizuia ipromote CDM si kule zenj tuu ila pemba...ni kila bifu watakaloliunda litawamaliza km CCM mbele ya CDM....Ni wazi CUF watatakiwa sana tumia busara....kwani mpira umetupwa kwao..na Sidhani km bado hawaajui CDM .Ukiwa tukana na kuwasifia yote yana effect moja utawapeleka mbele.Thisi Time CUF inawahitaji ili kuondoa laana,na kuwaonyesha wazenj kuwa CUF inaweza gain tenacity ,flexibility na intelligence ya CDM.Pia wajitenge na CCM kabisa kwani serikali Mbili ya CCM ni km uliberali wa CUF mbele ya wazenj.
 
Chadema ni Chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

CUF ni chama cha Pemba...

yeah..naweza kuelewa....ndio maana Tundu Lissu akatumia ulghai jana..kuipa CCM mkong`oto kupitia sheria za kilaghai za nchi....Ulinunua lini hiyo CD?
 
Mkuu, sidhani kama kulikuwa na ndoa hapo ila nilichobaini ni kuwa CHADEMA (mwanamke) alikuwa anamtamani CUF (mwanaume) ila alikuwa anashindwa kumtongoza kwa kuogopa kuchomolewa na kuitwa malaya. uvumilivu ulipomshinda mwanamke akajitosa kumtongoza mwanaume na sasa amechomolewa
Yaani CUF aliyeko kwenye ndoa halali kama mke wa CCM amekuwa lini mwanaume?
 
Yaani CUF aliyeko kwenye ndoa halali kama mke wa CCM amekuwa lini mwanaume?

haha ..CDM wapo kufanya impossible kwa vyama vingine kuwa possible.....dr. anawafanyia operation na kuwatibu....ukiangalia Page ya face book ya Jussa ni wazi kuwa tayari CUF wapo ktk conflict ya fikra..Kwa jinsi walivyomtukana Tundu Lissu ktk masikio ya wazenj, ni km walimpa audince kubwa zaidi km maandlizi ya kuja sikilizi this BIg news kuwa Tundu Lissu ndiye Hero wao...

Njia nzuri ya kuupiga mpira uende kwa kasi ni kuupiga mpira unaokujia vyema kuurudisha ulipotoka..utakwenda kwa kasi ya rebound na mpigo wa mkuu ......

Waliichafua CDM kwanza ili wakija ifagilia ikae vyema ktk masikio ya wazenj..
 
Sidhani CUF na CHADEMA wanaweza kuungana, lau kwa sasa, ila inapotokea kuwakuna hoja bungeni zinazofanana na sera zao (political alignment) naamini wabunge watasimamia hoja hizo. Na hii haitamaanisha kuwa vyama hivyo vimeungana. Kama ni hivyo, moja ya wanaotaka serikali tatu na kuundwa kwa serikali ya Tanganyika, ni chama cha DP cha Mtikila. Je ndio tuseme CUF/CHADEMA wameungana na DP? Maalim Seif hana sababu ya kuogopa vimaneno vya kitoto kama kuolewa etc. Vyama vyote hivi vinaweza na vimesimama peke yao bila kumhitaji mwingine. Hata hiyo serikali ya Maridhiano ni strategic issue na sio sera ya CUF au CCM.
 
Cuf na cdm wote wahovyo wameendesha siasa za kuchafua jamii leo jana wakasema kuungana leo wanafarakana hawa watu vipi tuwaeleweje.
 
Toka kwenye facebook page ya jussa

[h=5]umma uliofurika viwanja vya basra, jimbo la mtoni, wilaya ya magharibi unguja kwenye mkutano wa hadhara tulioufanya leo ambapo nilielezea kilichojiri bungeni kuhusiana na kupitishwa kimabavu mswada wa sheria ya marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba na jinsi wabunge wa ccm wakiongozwa na balozi seif ali iddi walivyowasaliti wazanzibari.

Tumempongeza mhe. Tundu lissu na wabunge wa cuf, chadema na nccr kwa kusimamia na kutetea nafasi na maslahi ya zanzibar kama nchi mshirika sawa na tanganyika katika hatua zote za kuusuka upya muungano wa zanzibar na tanganyika na hususan katika kupata uwakilishi ulio sawa kwenye bunge maalum la katiba (constituent assembly).

Tumewaeleza wazanzibari jinsi inavyosikitisha kuwaona akina balozi seif ali iddi, chombo, masauni, fakhariya, abdalla sharia na wengineo kama hao wakiisaliti zanzibar na kuiuza kwa bei powa kwa kufikiria na kujali madaraka waliyo nayo na maslahi yao binafsi na ya familia zao badala ya wananchi waliowachagua.

Mwisho, tumewakumbusha wazanzibari ujumbe uliotolewa na aliyekuwa kada mashuhuri wa ccm ambaye yuko mstari wa mbele kutetea mamlaka kamili ya zanzibar kupitia kamati ya maridhiano, ndugu yetu eddy riyami, kwamba wazanzibari wahakikishe kila waliyemchagua ambaye hataki kusimamia mamlaka kamili ya zanzibar basi kazi moja tu - delete, futa kabisa!
[/h]
 
Unafki na uchu wa madaraka unamtesa sana huyu maalim seif. Aja jifunza tu kwa yalio mkuta Odinga baada ya ndoa kuvunjika.

Sina hakika kama siasa na fikra zake zime elekea kuikomboa Zanzibar. Kwa tulipo fikia niheri kwa vyama vya upinzani kuungana kuanzia kwenye mambo kama haya ya katiba mpya mpaka kwenye uchaguzi mkuu ili kuunganisha nguvu zao na hatakuwa na mgombea mmoja kwa upande wa upinzani ili kuto endelea kuwa gawa wapiga kura ambao usababisha kura kuwa chache kwa vyama vya upinzani nakuipa nafasi ccm ya kuwa naushindi wabule kuanzia kwenye chaguzi mpaka bungeni.

Kwa kauli hizo za maalim kuna haja ya kumchunguza kama sio mamluki kwa kimvuli cha CUF na kuwagawa wapiga kura na kuipa nafasi ccm kuendelea kutawala.
 
Ngoma bado mbichi huyo ndiyo maalim nadhani wazanzibar wamemsuta kuungana na makfir chadema ingekuwa ni kuitukana zanzibar.

Duh na wewe poti kwa kuchemka!napata mashaka hiyo simiyu unayotoka ni ipi au umeandika jina tu la kutumia humu JF?
Hivi unawezaje kutamka ya kwamba Chadema ni makafri hivyo wazanzibar hawawezi kuungana na makafri.kauli hii ni ya kusikitisha,ni ya kibaguzi,ni ya kitoto,ni ya kipuuzi,ni ya kijinga sana.ni utaahira kuendekeza ubaguxi wa kidini,rangi'kikabila ama iwavyo vyovyote.kwa kuwa hii ni sera ya CCM ndio maana umeishabikia sana,na unashinda kutwa uko JF kujibu post zote zinzozungumziz CDM,anyway hii ni njaa inasumbua watu,mradi wa lumumba unaeafanya vijana mdhalilike,tu mkono uende kinywani.
 
Back
Top Bottom