Jamani sasa tunahitaji ushahidi gani mwingine zaidi ya alichokwisha sema Nape kwamba huyu bwana aliyewauza Wanzanzibari kwa ujira wa kupewa cheo kisichokua na maana yoyote huku akiranda nchi za nje yeye na wake zake. Hivi kweli leo unawezaje kujiita kiongozi hata wa mgahawa kama hujatambua kwamba we belong to multiple organizations? Anajua watanzania wakiungana kiukweli hana pa kuchumia mtu huyu, Nyerere hakukosea, huyu bwana eti kama kweli alikua na uchungu kaishia kupewa mandate ya madawa ya kulevya na mapenzi ya wanaume kwa wanaume ndio nafasi aliyoiona inawafaa CUF hata kwa kujua kuwa CUF ilikua imeshinda uchaguzi repeatedly, alichoka kuterea haki, akawauza wazanzibari waliouawa na Mkapa kwa ujira wa yeye kupanda mabenzi
mkuu, ulipaswa kusoma kwa makini uzi huu badala ya kukimbilia kuandika kitu usichokijua. Maalim Seif ametoa msimamo wake na wala si msimamo wa chama[/QUOTE
Na kakwambia huo ni msimamo wa Maallim Seif? Huyu aliyepost hii topic ni mnafik na mchonganishi mkubwa. Huo ni mtazamo wake siyo wa Maalim Seif kama anabisha aeleze hapa Maalim seif ilitoa hiyo kauli wapi?
mkuu, ulipaswa kusoma kwa makini uzi huu badala ya kukimbilia kuandika kitu usichokijua. Maalim Seif ametoa msimamo wake na wala si msimamo wa chama[/QUOTE
Na kakwambia huo ni msimamo wa Maallim Seif? Huyu aliyepost hii topic ni mnafik na mchonganishi mkubwa. Huo ni mtazamo wake siyo wa Maalim Seif kama anabisha aeleze hapa Maalim seif ilitoa hiyo kauli wapi?
Mkuu, si jambo la busara kudisclose source na eneo ambapo habari imepatikana. cha muhimu ni kuwa taarifa imepatikana na ndiyo inayojadiliwa
Anayetaka kumfahamu maalimu Sefu amwulize Mapalala. Huyu ni mdini anayetaka kumbagua Itatiro. Halafu wakiambiwa CUF ni chama cha Zanzibar wanabisha.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
nina mashaka na uelewa wake;
1. Kauli ya kusema viongozi wamepewa hela na Chadema ni ya kukera asipoangalia anaweza kukigawa chama
2. Kwa nini ichague viongozi ndiyo wawe wasemaji wa Wazanzibar wote, mbona Tanganyika wananchi wanatoa maoni maoni yao ? Why not Zanzibar?
3. Anasahau kuwa siasa hazina rafiki wala adui wa kudumu
4. M/kiti wake ni prof. kusema anafanya mambo asiyoyajua ni dalili ya dharau.
5. Chadema wanauwezo mkubwa kujitegemea bila msaada wao- cuf.
6. Kuna jambo lipo nyuma ya pazia hasa tukizingatia msimamo wake juu ya muungano. Kama kweli tunaupenda huu muungano tuwe makini na huyu mtu dhidi ya kauli zake.
Mambo hayo. Hapo patamu. Ndoa ya mashaka.Wadau,
Taarifa za kuaminika nilizopata kutoka chanzo cha kuaminika huko Zanzibar zinasema kuwa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amepinga kitendo cha baadhi ya viongozi wa chama hicho kuingia makubaliano na CHADEMA ili kupinga muswada wa katiba mpya. Maalim Seif amenukuliwa akisema mbele ya baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuwa uamuzi huo si wa kichama bali ni msimamo wa baadhi ya viongozi wa chama hicho ambao wamepewa fedha na CHADEMA ili wawe na msimamo wa aina moja. Maalim Seif anasema kuwa wanaoratibu mpango huo ni Naibu Katibu Mkuu, Julius Mtatiro kwa kushirikiana na baadhi ya wabunge wa chama hicho kutoka Zanzibar. Taarifa zinasema kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Ibrahim Lipumba inaelekea kuwa ameingia kucheza ngoma ambayo haijui na matokeo yake anaonekana kupoteza mwelekeo na kukosa msimamo. Hoja zilizoainishwa na Maalim Seif za kupinga makubaliano hayo ni hizi zifuatazo;
- Hakuna kikao chochote cha chombo chochote cha kiutendaji na kimaamuzi cha CUF kilichoketi iwe Zanzibar au Tanzania Bara kujadili jambo hilo na kuweka msimamo wa chama.
- Maoni yaliyotolewa na Kambi Rasmi ya Upinzani juu ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba hayakuwa maoni ya vyama vyote vya upinzani bali yalikuwa ni maoni ya CHADEMA pekee waliyoandaa kwa muktadha wa kujipatia umaarufu Zanzibar
- CUF ni moja ya vyama vinavyounda serikali ya umoja wa Kitaifa Zanzibar. Kutokana na ukweli kuwa Serikali hiyo imeshirikishwa na yeye (Maalim Seif) ameshiriki katika kuboresha Muswada huo anaamini kuwa chama hicho kupitia Serikali ya Umoja wa kitaifa ambayo imepewa baraka na Wazanzibari wote kimeshiriki kutoa maoni yake. Hivyo madai kuwa Wazanzibari hawajashirikishwa si ya kweli na ni upotoshwaji mkubwa
- Misimamo ya viongozi wa CHADEMA dhidi ya Zanzibar mara zote imekuwa hasi na kwa hali hiyo hali iliyojitokeza ya viongozi wa chama hicho kujipendekeza kwa Wazanzibari imetafsiriwa kuwa ni ulaghai wa kisiasa.
- Zanzibar ina viongozi ambao ndio waliopewa dhamana ya kuwasemea Wazanzibari na si mtu mwingine ambaye misimamo yake dhidi ya Wazanzibari inajulikana
- Kwa muda mrefu, CHADEMA wamekuwa wakitoa kauli za kuudhi dhidi ya CUF na viongozi wake hasa wale wanaotoka Zanzibar kama vile CUF ni CCM B, CUF ni chama cha Kiliberali ambacho kinasupport ndoa ya jinsia moja na CUF imeolewa na CCM. Kwa kauli hizo, hakika muungano unaosema hasa na CHADEMA si wa kweli bali ni wa maslahi ya upande mmoja.
- CHADEMA wanataka kuitumia CUF kama daraja ili kujipatia wafuasi Zanzibar. hii ni kutokana na CHADEMA kuendelea kupoteza mvuto visiwani humo hasa kutokana na viongozi wakuu wa chama hicho kuwa na chuki binafsi dhidi ya Zanzibar. Aibu aliyopata Katibu Mkuu wa CHADEMA alipofanya ziara visiwani humo imechochea viongozi wa chama hicho kuona haja ya kuungana na CUF
Kutokana na hali hiyo, Maalim Seif ametoa msimamo ufuatao ambao anategemea kuuwasilisha kwenye vikao halali vya kiutendaji vya CUF na ambao amesema unaungwa mkono na viongozi wengi wa chama hicho;
- Yeye kama katibu Mkuu na mtu anayekubalika na kutumainiwa na Wazanzibari wengi hatashiriki kikao chochote na CHADEMA kujadili jinsi ya kukwamisha mchakato wa Katiba
- Yeye kama Katibu Mkuu hatashiriki ziara iliyotangazwa na CHADEMA ya kuzunguka nchi nzima kwa kile kinachodaiwa kuishtaki serikali ya ccm kwa wananchi
- CHADEMA wameonywa kutojipendekeza kwa CUF na wamekumbushwa msimamo wao kuwa CHADEMA KITASIMAMA KWA MIGUU YAKE YOYOTE NA HAKIHITAJI MSHIRIKA YEYOTE KATIKA JAMBO LOLOTE
Nawasilisha
Lisu alipokuwa akiongea katika kipindi cha medani za siasa star tv alisema kwamba chadema ndio chama cha upinzani na vingine c vya upinzani bali ni vyama tu vipo vipo tuMsimamo mzuri ndugu yangu Maalim Seif mpenda madaraka sema umeongea point za msingi chadema walikuwa hawapendi cuf na wanasema cuf ni chama cha zanzibar kwahiyo sio chama cha tanzania cuf imefunga ndoa na ccm matusi mingi sana leo mnataka support ya cuf?huyu Maalim Seif I used to like him before lakini nilikuja kugundua kama anapenda madaraka tu sio kama yupo kwa maslahi ya wazanzibar iwezekani miaka yote yeye tu ndie anataka kugombea Urais kama hakuna watu wengine tafakari
Tunasahau kuwa katiba tunayoitaka ni ya Tanzania,sio ya cuf,chadema,ccm,wala chama chochote.CDM awakufanya kosa lolote kwani malengo yao yanafanana kwenye madai ya katiba mpya<TANZANIA kwanza vyama baadae>kwa hiyo CHADEMA walifanya kosa kubwa kuungana na CUF?
Nimepata kushauri kwamba CUF ishirikiane na CHADEMA kuondoa Chama cha Mafisadi madarakani: Katika mpangilio huo, Lipumba angegombea Ubunge Tabora badala ya kuendelea na taaluma yake ya kugombea u-Rais. Tukishinda angekuwa Spika. Maalim angekuwa Naibu Waziri Mkuu wa JMT.
Kama pendekezo sasa ni CHADEMA na CUF kuungana na kuwa chama kimoja, mambo yatanoga zaidi kwa vile muungano huo utashinda. Hata kama CCM itaendelea kuongoza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, itawezekana kuendelea kushirikiana na Serikali ya Muungano kama ilivyo sasa.