USHAURI KWA VYAMA VYA UPINZANI: Leo 12/12/2019 mwenyekiti wa CCM taiga amewaambia CCM kwamba wafanye mikutano ppopote Tanzania kwa sababu walishinda kwa kishindo selikari za mitaa.
Inaelekea kuna maagizo ya kikataza vyama vyote vya upinzani kutofanya mikutano popote Tanzania.
Inawezekana wakuu wa vitongoji, na mitaa, tarafa, kata, wilaya na mikoa wakawa wameagizwa kusimamia hilo.
Navishauri vyama vya upinzani kukaa na kuliona hili mapema na kulifanyia kazi, kwa mujibu wa sheria maana ni CCM tu itakuwa na access kwa wapiga kura tu. Waeleze wenye mamlaka ya kukemea, kushauri, kutoa haki, kutafsiri sheria, nk. Kuliko kuja kukabiliana na mabomu na virungu kwa kisingizio cha .....
Pia niombe CCM ACHA KUTUMIA VIBAYA NA ISIVYO HAKI MAMLAKA YA RAIS KUKANDAMIZA VYAMA, KUFANYA HAYO NI DHAMBI, NI UKATILI NI UCHAFU MKUBWA WALE WAKRISTO HAMTAKUWA NA KIBARI KUJONGEA MEZA YA BWANA KAMA MTATEKELEZA NIA OVU ZA NAMNA HIYO PIA WAISLAM PIA MTAKUWA MNAJIDANGANYA IBADA ZENU NI BURE MKAE MKIJUA.
Sent using
Jamii Forums mobile app