paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,504
- 3,499
Tundu ni wa Chama gani vile? Na Magu naye?Mbona Magufuli hamwachii Tundu Lissu kipenzi cha Watanzania?
Kwa uchaguzi huu, kama huko nyuma CCM walikuwa wakisingiziwa kuiba Kura za maalimu Sharifu, mwaka huu ndio wafanye kweli haswaa, Kwa sababu Yule Mzee kwanza kazeeeka na istoshe amekuwa yeye yeye yeye Tu, hii inataka kutuaminisha kuwa, mbali na kuchoka bado anataka Uraisi tu,hofu yangu Zanziba isije kuruhusu jitu kuwa Rais ambalo halitakubali kuachia ofsi za Ikuru ya Zanziba!
Kwa sababu sio kawaida, tangu akiwa na miaka 45+ anatafuta Uraisi tu, kuna nini moyoni mwake?
Sio Dicteta kweli huyu Jamaa?
CCM na wa Zanzibari, chondechonde, msiruhusu jamii ya huyo mtu kukanyaga Ikuru mtajuuuta nawambieni yakhee!!