Zanzibar 2020 Maalim Seif atangaza kugombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo

Wapi Ismail Jussa? Huyu mzee atagombea hadi awe wa kupandisha jukwaani.

Namkumbuka mzee wa "don't kubeba" King Cobra, Michael Sata naye aliukwaa urais uzeeni akiwa 74 baada ya kuusotea halafu hakuchua hata round aka-RIP. Uzee ukitajwa.
 
Ya Malawi umeyasikia lakini?
Wa Malawi amewahi kugombea mara ngapi?unafananisha vitu viwili tofauti, huyu wa wa Malawi chama chake ndio kilikuwa CCM ya Malawi,maalimu anajidanganya anadhani ni yeye na si chama ndio kinaweza kuleta ushindi.Maalim ataiona tu ikulu na kamwe hatakuwa raisi wa Zanzibar.Atawapigia magoti akina Mwinyi /Mbarawa ambao mmoja wapo ndie atakuwa raisi wa Zenj
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom