Maalim Seif ataiongoza Zanzibar kama Rais

Maalim Seif ataiongoza Zanzibar kama Rais

* Maalim ni mtu makini, ana watu wengi mno zaidi ya CCM wenye ushawishi kwenye siasa za Zanzibar.

* Mkuu hapo hapahitaji watu wengi, Je una watu muhimu?

* Jeshi la bara haliijui vizuri Zanzibar, halijui Jiografia ya Zanzibar.
Machafuko yakitokea hawatajua nani wa kukamata, wapi pa kwenda, supply lines za wapinzani ni zipi na uwezo wao ni upi.

* Jiografia ni moja kati ya nyenzo kubwa ya jeshi, jeshi lazima lijue jiographia ya nchi zote inazozizunguka. Ila wewe unasema jiografia ya ndani haijulikani, serious.

* Maalim anaonekana kama mgonjwa, kama fala, lakini amejipanga.

Umewezaje kufahamu hili. Nawe ni sehemu ya igizo au?

* Tofauti na waunguja wachache na wabara waliozamia, Pemba hakuna atakayepiga kura.

Humkumbuki Mrema na kura za familia.

* WaZanzibar wataka mabadiko na wako tayari kwa lolote.
Namaanisha wako tayari.
 
Huo ni muujiza mkuu! Haitotokea Maalim Seif kuwa Rais Zanzibar. Siku zishaenda. CCM siku zote walijua udhaifu wake wakautumia. CUF waandae mtu mwingine.
 
Matokeo yanasubiria kutangazwa tu. hapo mvua ikinyesha kuanzia saa 11 asubuhi na kuendelea siku nzima siku ya uchaguzi ndio kidogo italeta mushkeli nako bado haitaondoa ushindi wa kishindo (Huo upo hauhusiani kabisa na watu kupiga kura, kinachosubiriwa ni siku tu)!
 
Kama ikitokea kuwa kweli basi mm nakuahidi zawadi ya laki moja shiling.na kuanzia hapo ndio nitajua kama ww ni mmoja wa Gt
Unaposema kama ikitokea, kwani toka lini CCM imeshawahi kushinda zanzibar? Rejea tafiti zako kisha katume hiyo laki ya watu, kumbuka ahadi ni deni.! Alafu jua pia maana ya ushindi wa haki na halali.!
 
Ush
Matokeo yanasubiria kutangazwa tu. hapo mvua ikinyesha kuanzia saa 11 asubuhi na kuendelea siku nzima siku ya uchaguzi ndio kidogo italeta mushkeli nako bado haitaondoa ushindi wa kishindo (Huo upo hauhusiani kabisa na watu kupiga kura, kinachosubiriwa ni siku tu)![/QUOTUshindi ama ubabaishaji.? Yaani na matokeo mmeshapanga kumbe dah kweli mafedhuli hata haya na stata hamna.... Eti democracy uchaguzi wa haki.? Kweli mandeleo Tanzania bado na hususani bendera za vyama vina wadanganya mlio wengi wenu.!
 
Wadau mnaweza kuniamini au kutoniamini au kunipuuza!

Nakubali yote; Ila Maalim Seif atakuwa Rais wa Zanzibar siku sio nyingi!

Nitataja sababu kwa ufupi sana na sitatoa maelezo hata baadae!

* Maalim ni mtu makini, ana watu wengi mno zaidi ya CCM wenye ushawishi kwenye siasa za Zanzibar.

* Jeshi la bara haliijui vizuri Zanzibar, halijui Jiografia ya Zanzibar.
Machafuko yakitokea hawatajua nani wa kukamata, wapi pa kwenda, supply lines za wapinzani ni zipi na uwezo wao ni upi.

* Maalim anaonekana kama mgonjwa, kama fala, lakini amejipanga.

* Tofauti na waunguja wachache na wabara waliozamia, Pemba hakuna atakayepiga kura.

* WaZanzibar wataka mabadiko na wako tayari kwa lolote.
Namaanisha wako tayari.

Ni Mungu, Maalim na Zanzibar!
Unaota ndoto za mchana unaelekea kuchanganyikiwa Machotara hizbu
 
Atakuwaje Rais bila kushiriki uchaguzi? Na kama Pemba hawapigi kura ila tuamini picha yake itakuwepo kwenye karatasi ya kura ina maana atapata kura za Unguja kwenye ngome ya fisiem?
Uchaguzi mkuu wa Zanzibar ulishafanyika tarehe 25/102015 na dunia nzima ilishuhudia Maalim Seif akimbwaga Dr Shein kwenye ssnduku la kura.

Kitakachofanyika tarehe 20/03/2016 siyo uchaguzi mkuu bali utakuwa ni uchaguzi wao wa ndani wa CCM wa kuchagua viongozi wao wa Halmashauri ya Chama chao cha Majipu.

Kuthibitisha hilo ni kuwa hakuna timu yoyote ya waangalizi kutoka ndani na nje ya nchi waliokubali kupeleka waangalizi wao kwenye uchaguzi huo wa 'maigizo' wa Jecha.
 
Kitendo cha Rais Magufuli kumtembelea Maalim Seif pale Serena Hotel baada ya kutoka hospitali ya Hindu Mandal ni ishara nyingine inayoonyesha kuwa JPM amerealize kuwa amani ya nchi hii kwa sasa inashikiliwa na mtu mmoja anayeitwa Maalim Seif

JPM anajua fika kuwa hata hizi tambo zake kuwa TRA hivi sasa inakusanya matrilioni ya kodi ya wafanyibishara wakubwa kuwa kodi hizo hazitakusanywa tena iwapo hali ya Zanzibar itachafuka.

Kwa kuwa hakuna jambo lolote linaloweza kufanyika Zanzibar lisiathiri Tanganyika.

Hapo sasa ndiyo Magufuli atalazimika kufanya maamuzi magumu kama aidha aendelee kuwaendekeza wahafidhina wachache ndani ya chama chake wanaosema Zanzibar haiwezi kutolewa kwa vijikaratasi vya kupigia kura au awatilie ngumu wahafidhina hao na akubaliane na matakwa ya wazanzibari waliyoyafanya kwenye sanduku la kura tarehe 25/10/2015 ili aweze kuliokoa Taifa letu na hatari ya kuangamia.
 
Wadau mnaweza kuniamini au kutoniamini au kunipuuza!
* WaZanzibar wataka mabadiko na wako tayari kwa lolote.
Namaanisha wako tayari.

Ni Mungu, Maalim na Zanzibar!

Huwa nasikia kuna kura za Maruhani.

Ila CCM itatawala kwa muda mrefu kwa kutumia propaganda za ubaguzi.
 
Ndio nikasema ikitokea kweli utabiri huu ukatimia basi mm naahidi laki moja kwa mtoa mada.kiluilui soma nilichosema na ukielewe
 
Basi hata EAC na SADC kina Mugabe wamegomea uchaguzi huu. Duh! Mpaka shetani kukimbia sehemu yenye maovu, ujuwe keshaona adhabu ya Mungu iko njiani!

Msijali EAC itawaklishwa na TANGANYIKA, JWTZ na POLICE kama waangalizi wa uchaguzi.
 
itakuwa ngumu mmmmmno Maalim kuwa rais,watu hawataki mchezo linapokuja swala la Muungano! Labda agombee kupitia ccm
 
Sijatisha mtu
Nimesema tu!
Hakuna anayeweza kutisha Zaidi ya CCM.
Manuari mbili.
Maafisa p. wengi wa bara!!
Huo ni mkwara tosha.

Ila niamini, Marekani na ujanja wake inapigwa.
Uingereza imepigwa.
Ufaransa imepigwa.
Sauidia yenyewe imepigwa!

Tukishindwa tunasoma Dhahar!
Paul by name!
 
Back
Top Bottom