Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,837
Wadau mnaweza kuniamini au kutoniamini au kunipuuza!
Nakubali yote; Ila Maalim Seif atakuwa Rais wa Zanzibar siku sio nyingi!
Nitataja sababu kwa ufupi sana na sitatoa maelezo hata baadae!
* Maalim ni mtu makini, ana watu wengi mno zaidi ya CCM wenye ushawishi kwenye siasa za Zanzibar.
* Jeshi la bara haliijui vizuri Zanzibar, halijui Jiografia ya Zanzibar.
Machafuko yakitokea hawatajua nani wa kukamata, wapi pa kwenda, supply lines za wapinzani ni zipi na uwezo wao ni upi.
* Maalim anaonekana kama mgonjwa, kama fala, lakini amejipanga.
* Tofauti na waunguja wachache na wabara waliozamia, Pemba hakuna atakayepiga kura.
* WaZanzibar wataka mabadiko na wako tayari kwa lolote.
Namaanisha wako tayari.
Ni Mungu, Maalim na Zanzibar!