Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 776
Machafuko yakitokea hawatajua nani wa kukamata, wapi pa kwenda, supply lines za wapinzani ni zipi na uwezo wao ni upi.
Kwenye hili sina uhakika nalo sana maana Zanzibar kuna vikosi vya ulinzi na usalama ambavyo vinakaa na kuishi huko,sasa sidhani kama na wao pia hawaijui Zanzibar na hawawajui watu wanaowalinda