Kama ndivyo kwanini liongope kuhusu Seif?
Utakuwa wa kwanza kuamini kama taarifa ingeandikwa na gazeti gani?
Hata ya Lipumba na Slaa kujiuzulu walizitoa wao
Ahamie ACTKatibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.
Chanzo: Gazeti la UHURU.
MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
Sahihi kabisaKm lowassa aliweza iacha ccm kwann seif?
Hii 'sauce' ya habari haiaminiki.Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.
Chanzo: Gazeti la UHURU.
MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
Huyu Maalim alimpora hiki chama mzee fulani na yeye ataporwa tu. Auaye kwa upanga atakufa kwa upangaKatibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.
Chanzo: Gazeti la UHURU.
MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
Huyu Maalim alimpora hiki chama mzee fulani na yeye ataporwa tu. Auaye kwa upanga atakufa kwa upanga
Wewe kweli umepoteza kumbukumbu!!acha uongo wewe
Habari za lipumba na slaa walitoa RAIA MWEMA
Hilo ndilo gazeti lililotumika na kitengo
Hakuna kitu kigumu watu kuamini km Lowassa angeihama ccm.Seif na CUF, Lowassa na CCM ni pair mbili tofauti kabisa.