Maalim Seif ajiandaa kuitosa CUF

Hawa watu wanafanya DIVERSION kutokana na stress zao wakijuwa wanakabiliwa na sindikizo la kimataifa kuhusu sakata la Zanzibar.

Maalim Seif wanamuota na wanamuandalia kila ubaya. Tafsiri ya taarifa hii ni mbili.

i. Mpango wao wa kuivuruga CUF kuna point waliitega kupitia msajili kupandikiza mgogoro ili waidhoofishe CUf au kuifuta kwa kisingizio cha migogoro. Kwa sasa wanatafakari kuchukuwa maamuzi lakini wanasnoop public attention na kuuelekeza upepo wa Maalim Kutafuta chama . Hao ni usalama wa Taifa wako kazini kuisaidia CCM.

ii. Sindikizo la kimataifa kupatiwa suluhu suala la Zanzibvar, muda wa ahadi umekaribia na wanacheza na mindset za watu kupotezea na kuwashughulisha watu na wana cuf kuamini kuwa kuna usaliti na kuwakatisha tamaa .
 
Hii habari wengi hatuaamini kama Lowassa alivyokuwa anaandikwa kwenda CDM, lakini mwisho tuliamini na kubadili gia na kumsafisha.

Tusubiri au tutunze maneno ya badaye.
 
waoooo Maalim Seif tunamkaribisha sana hapa CHADEMA, tunamuhitaji sana. aje hata leo karibu sana Maalim CHADEMA tunakuhitaji sana
 
Sijawahi kuona Mtu anaisusa Nyumba yake kwa marere ya Wapangaji, Uhuru hao, Nape wala hawaoni Kama wanaandika habari za kichochezi, kumbe uchochezi ni kuisema Serikali?

Asante Nape
 
7.jpg

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.

Chanzo: Gazeti la UHURU.

MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
Ahamie ACT
 
Hii 'sauce' ya habari haiaminiki.
 
7.jpg

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.

Chanzo: Gazeti la UHURU.

MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
Huyu Maalim alimpora hiki chama mzee fulani na yeye ataporwa tu. Auaye kwa upanga atakufa kwa upanga
 
Huyu Maalim alimpora hiki chama mzee fulani na yeye ataporwa tu. Auaye kwa upanga atakufa kwa upanga

Kuna wengine wanapora kabisa ushindi na wanapeta.Kama unaamini auaye kwa upanga atakufa kwa upanga ngoja tusubiri matokeo ya hao waliopora ushindi tuone mwisho wao.
 
Kesi iliyofunguliwa mahakama ya EAC na Wanzazibari 40000 kuhoji uhalali wa Muungano kunguruma leo. Allah awashushie haki wazanzibari.
 
acha uongo wewe

Habari za lipumba na slaa walitoa RAIA MWEMA

Hilo ndilo gazeti lililotumika na kitengo
Wewe kweli umepoteza kumbukumbu!!
Unakumbuka siku Habar za Lipunba kujiuzulu ndio siku Seif na Duni wanashuhudia Lowassa akiwa mgombea rasmi Chadema, ndipo Seif akasema gazeti lililochapisha Lipumba kujiuzulu ni Uhuru?
Akakanusha ile taarifa lkn kesho Lipumba ndipo akatoa tamki lake?
 
Seif na CUF, Lowassa na CCM ni pair mbili tofauti kabisa.
Hakuna kitu kigumu watu kuamini km Lowassa angeihama ccm.
Kila Mtu alikiwa haamini lkn mwisho WA tetesi wore tulishuhudia.

Hakuna kinachoshindikana, hata Seif anaweza hama chama chake
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom