Maajabu ya Squirrel !!

Maajabu ya Squirrel !!

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
ImageUploadedByJamiiForums1359524690.744656.jpg
..........
 
Hata sisi jamii ya bata we are so kind kwakweli tuna adopt hata watoto wa mwewe
 
Boflo,

Wanyama huwa na maajabu na mafundisho makubwa sana kwetu, ikiwa tu tutakuwa na macho wa kuyaona.

Umenikumbusha hii ya Simba na Swala:

fawn10n-5-web.jpg


Source:
[h=1]Lioness ‘adopts’ baby antelope in Uganda national park -- after EATING ITS MOTHER[/h]

Read more: SEE IT: Lioness
​
 
Hata kuku hu adopt watoto wa Kanga na huwalea kwa upendo mpaka wanapoanza kujitegemea!
 
kwa sasa wanyama wana akili kuliko hata binadam maana kila kitu 2naiga kutoka kwao hususan kwa upande wa malavidav
 
Boflo,

Wanyama huwa na maajabu na mafundisho makubwa sana kwetu, ikiwa tu tutakuwa na macho wa kuyaona.

Umenikumbusha hii ya Simba na Swala:

fawn10n-5-web.jpg


Source:
Lioness ‘adopts’ baby antelope in Uganda national park -- after EATING ITS MOTHER


Read more: SEE IT: Lioness
​

anasubiri akue amtafune
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom