Maajabu ya paka shume, paka la mapaka!

Maajabu ya paka shume, paka la mapaka!

Hata sasa huwa nashangaa,

Uadui na paka kipindi kile ulitokana na Nini😄
Yani ni mazoea tu
Unakuta wengn wamezaliwa wanakuta hiyo hal ipo na kuona raha kuyapiga
Au ile usiku mtu akiona paka kwenye corner au fensi
Unaskia Ushindwe toka pepo 🐈‍⬛ alf lipaka jeusi macho yanang’aa mtu
Anamrushia mawe alf ss kama nyau ni jasiri anarushiwa jiwe hakimbii (ogopa huyo nyau) anakukimbilia wewe mbona utakimbia tu😅
 
Nikajua ni PAKA LA MAPAKA, PAKA LA BAR, MUDI MUZUNGU🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Huwezi kuelewa maana ulivuka "stage" muhimu sana.

ndiyo maana mnateka, kutesa na kuuwa watu kuwatupa porini sababu ya hiyo “stage muhimu” ? kwa hiyo mlilelewa na ukatili kwa kusudi la kuja kutumika kutesa na kuuwa watu kwa kuyafanya mnayoyafanya? …
 
Isaya 1:7 Nchi yenu ni ukiwa; miji yenu imeteketezwa kwa moto; nchi yenu, wageni wameila mbele ya macho yenu; nayo ni ukiwa, kana kwamba imeangamizwa na wageni.
 
Isaya 1:7 Nchi yenu ni ukiwa; miji yenu imeteketezwa kwa moto; nchi yenu, wageni wameila mbele ya macho yenu; nayo ni ukiwa, kana kwamba imeangamizwa na wageni.
(Isaya 13:21)

Mbuni, bundi, majini wataishi na kucheza humo ndani ya nyumba
 
Back
Top Bottom