Maajabu ya paka shume, paka la mapaka!

Maajabu ya paka shume, paka la mapaka!

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,938
Reaction score
41,098
Salaam!

Tukiwa wadogo, tulipenda sana kuwinda mapaka shume na kuyashambulia kwa mawe, sababu ya kuyawinda, yalizidi wizi wamboga majumbani na uharibifu uliokithiri.

Yaani sie tulipoona mapaka tu jalalani, tulivizia, tukakusanya mawe yetu na kuanza kuyashambulia kwa ghafula, furaha yetu ilikuwa ni kuona mtaa wetu haui makao ya mapaka shume.

Sasa siku ya siku ikafika, tukiwa Katika harakati zetu za kuwinda mapaka shume, tukaliona paka shume moja jalalani, kama kawaida yetu Kila mmoja akakusanya mawe yake na kuchukua position yake kwa Siri kulizunguka jalala tayari kwa mashambulizi.

Tulipopeana ishara ya kushambulia, Kila mmoja akarusha jiwe kumuelekea paka, jiwe moja litatua kichwani mwa paka shume, jiwe hillo lilirushwa na rafiki YANGU mmoja alikuwa left handed,

Paka alipopigwa jiwe lile, aliruka juu na kurudi chini, sasa kwa kawaida yetu, tungejiandaa kurusha mawe awamu ya pili na tatu, jambo moja la ajabu lilitufanya tusite kidogo kuendelea kumshambulia paka shume.

Alianza kutoa milio ya ajabu, akaanza kujirarua mwenyewe ngozi yake na kujitoboa Hadi macho kwa makucha yake, anaruka juu na kujivuringisha kwa hasira muda wote alijikita Katika kujidhuru mwenyewe mwili wake, alikimbilia mahali na kujiviringa kwenye kamba na akafanikiwa kujitia kitanzi na kuning'inia,aliendelea kujidhuru bila kukoma!

Mara ararue uso wake, damu ikichuruzika, anageuka na kuanza kuula mkia wake mwenyewe, haaaa! Ilikuwa mbaya sana kuangalia.

Sie kuona hayo, tukaona mambo yamekorogeka, tukakimbilia mbali na mazingira Yale na kukaa na kuendelea kutizama tukio lile ambalo tulianza kumhurumia Tena paka yule.

Sasa kuna tabia Fulani zimeanza kuonyesha na chama Fulani ambazo naona zinafanana na kuchanganyikiwa kwa paka yule, tabia hizi zinaanza kutufanya kuacha kukishambulia na badala yake tunaanza kukihurumia.

Nawasilisha 🙏
 
Salaam!

Tukiwa wadogo, tulipenda sana kuwinda mapaka shume na kuyashambulia kwa mawe,

Yaani sie tulipoona mapaka tu jalalani, tulivizia, tukakusanya mawe yetu na kuanza kuyashambulia kwa ghafula, furaha yetu ilikuwa ni kuona mtaa wetu haui makao ya mapaka shume.

Sasa siku ya siku ikafika, tukiwa Katika harakati zetu za kuwinda mapaka shume, tukaliona paka shume moja jalalani, kama kawaida yetu Kila mmoja akakusanya mawe yake na kuchukua position yake kwa Siri kulizunguka jalala tayari kwa mashambulizi.

Tulipopeana ishara ya kushambulia, Kila mmoja akarusha jiwe kumuelekea paka, jiwe moja litatua kichwani mwa paka shume, jiwe hillo lilirushwa na rafiki YANGU mmoja alikuwa left handed,

Paka alipopigwa jiwe lile, aliruka juu na kurudi chini, sasa kwa kawaida yetu, tungejiandaa kurusha mawe awamu ya pili na tatu, jambo moja la ajabu lilitufanya tusite kidogo kuendelea kumshambulia paka shume.

Alianza kutoa milio ya ajabu, akaanza kujirarua mwenyewe ngozi yake na kujitoboa Hadi macho kwa makucha yake, anaruka juu na kujivuringisha kwa hasira muda wote alijikita Katika kujidhuru mwenyewe mwili wake, alikimbilia mahali na kujiviringa kwenye kamba na akafanikiwa kujitia kitanzi na kuning'inia,aliendelea kujidhuru bila kukoma!

Sie kuona hayo, tukaona mambo yamekorogeka, tukakimbilia mbali na mazingira Yale na kukaa na kuendelea kutizama tukio lile ambalo tulianza kumhurumia Tena paka yule.

Sasa kuna tabia Fulani zimeanza kuonyesha na chama Fulani ambazo naona zinafanana na kuchanganyikiwa kwa paka yule, tabia hizi zinaanza kutufanya kuacha kukishambulia na badala yake tunaanza kukihurumia.

Nawasilisha 🙏
Ni kawaida sana mapaka hayo kujirarua hasa kipindi ambacho yanatafuta kuendelea kuwa mfalme wa mapaka .... nikimaanisha ni kawaida ccm kupitia tafran kipindi cha uchaguzi sio mara kwanza
 
kwa hiyo unajiona mjanja na kujisifu kabisa kutesa na kuuwa mnyama asiweza hata kujitetea? hiyo ni psycopathy man, hauna tofauti na mnaowashutumu kuteka, kutesa na kuuwa watu hata wao wangetesa kupiga na kuuwa mnyama pia asiyeweza kujitetea bila ya huruma yoyote ile.

kwa kifupi una check boxes zote za kuwa psycopath …
 
kwa hiyo unajiona mjanja na kujisifu kabisa kutesa na kuuwa mnyama asiweza hata kujitetea? hiyo ni psycopathy man, hauna tofauti na mnaowashutumu kuteka, kutesa na kuuwa watu hata wao wangetesa kupiga na kuuwa mnyama pia asiyeweza kujitetea bila ya hutuma yoyote ile …
Mambo ya utoto hayo,

Labda WEWE umeelewa kama yyai ndani ya uzio, hukuchanngamana na wenzio Katika makuzi
 
Umekulia sofani?

Back
Top Bottom