BoManganese
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 979
- 2,671
- Thread starter
- #21
Sawa mkuuSIWEZI KUKUBALI HATA UNGEWEKA VIDEO NA SAUTI ZA WAHANGA. FUATILIA WEWE ILI MIMI NIKATAE.
Sawa mkuuSIWEZI KUKUBALI HATA UNGEWEKA VIDEO NA SAUTI ZA WAHANGA. FUATILIA WEWE ILI MIMI NIKATAE.
Na mimi nakataaSIWEZI KUKUBALI HATA UNGEWEKA VIDEO NA SAUTI ZA WAHANGA. FUATILIA WEWE ILI MIMI NIKATAE.
Duniani kuna mengi maajabu yapo mkuuNa mimi nakataa
LililoozATangopori hili
Ndo maana nkakwambia majaabu .. Nenda wikipedia kucheki vizuriAlikua anaendesha nani
Kwani ilikua wapi kwa miaka 35 mafuta hayakuisha
#CHAI
Ndo maana nkakwambia majaabu .. Nenda wikipedia kucheki vizuri
Urudi na merejesho mkuuNgoja niende
Kwani Google ni wapi ...si kompyuta tu ambayo inategemea uwepo wa mtuNa google inaheshimu hii kanuni GIGO
View attachment 1120440
Hebu tuhadithie kilicho watokea mkuumi nilikua kwenye hiyo
Ndege
Hiyo story ni ya kweli
Hebu tuhadithie kilicho watokea mkuu
Uko sahihi, inategemea uwepo wa mtu.Kwani Google ni wapi ...si kompyuta tu ambayo inategemea uwepo wa mtu
Hebu tueleweshe mkuu iyo ndo niniUko sahihi, inategemea uwepo wa mtu.
- Je unaelewa maana ya GIGO ? ,
- Je unatambua hasara waipatayao vijana wa leo kutumia google bila ya kujiongeza?
- Je unafahamu simulizi ya ndege aina ya mbayuwayu?
Iwapo umetoa jibu la hapana kwenye moja ya hayo maswali matatu, basi inatakiwa ujitafakari.