Maajabu ya ndege Santiago airline 513

Hiyo story ni ya kitambo na nimeisoma, shida inakuja kwenye marubani hawaelezei kuwa iliongozwa na skeleton au mtu mzima

Sasa mimi wameniacha njiapanda ila nachosubiri Mungu akinipa maisha marefu ni hili la Malaysian airline maana nalo ni myth yawezekana zinatekwa then baada ya mda flani wanaziachia maana hii ya Malaysia inasemekana ilipopoteza mawasiliano ilikua karibu na USA military base ufukweni mwa bahari.
Dunia hii ina mambo mengi mkuu
 
Wazungu walishamuona mtu mweusi jitu la hovyo tu

Ili ujue ni hovyo amekomalia Google na wikipedia utafikiri huko data zinalishwa na Mungu

IIli mzungu aweze kukuona wewe kuwa ni mtu wa ovyo, lazima kwanza wewe mwenyewe uwe na hisia hizo kwamba wewe ni mtu wa ovyo, kabla ya yeye kuwa amuekuona hivyo. Sikatai kuwa wazungu wana matatizo, lakini pia lazima tuukubali ukweli kuwa matatizo mengine mengi huwa tunayatengeneza sisi kichwani, halafu tunawarushia wao. Na tukishafanya hivyo, wao nao wanazikubali lawama wanazorushiwa, kwa sababu huwa zinawafanya wanajisikia superior, wakati kumbe hata contribution yao inakuwaga haipo!
 
Hiyo story ni ya kitambo na nimeisoma, shida inakuja kwenye marubani hawaelezei kuwa iliongozwa na skeleton au mtu mzima

Sasa mimi wameniacha njiapanda ila nachosubiri Mungu akinipa maisha marefu ni hili la Malaysian airline maana nalo ni myth yawezekana zinatekwa then baada ya mda flani wanaziachia maana hii ya Malaysia inasemekana ilipopoteza mawasiliano ilikua karibu na USA military base ufukweni mwa bahari.
Ukubwa jalala!
 
Unajua inapokuja mada kama hii naona wengi wanakujaga na kukazania "UONGO" bila kua na hoja za maana hii story sio fiction ni kitu real kabisa and baadh ya research zinaasema INA mahusiano na time traveling madini ya mtukio kama haya huwez yapata kirahisi kwasababu hii ni technology inatakiwa kuwa innovated na ni vita kama ile ya technology ya silaha za kivita au safari ya mwezini tafuta series inaitwa fringe kaangalie utaelewa
 
Sio kila kitu kiwe cha kweli tambua hii ni business, sometimes vinawekwa vitu vya uongo ili akili yako ikubali huo uongo ni ukweli then inapitishwa kama ni ukweli ndipo inawekwa ktk history ya generation ijayo kuwa kulikuwepo na kitu kama hicho.
 
Unajua inapokuja mada kama hii naona wengi wanakujaga na kukazania "UONGO" bila kua na hoja za maana hii story sio fiction ni kitu real kabisa and baadh ya research zinaasema INA mahusiano na time traveling madini ya mtukio kama haya huwez yapata kirahisi kwasababu hii ni technology inatakiwa kuwa innovated na ni vita kama ile ya technology ya silaha za kivita au safari ya mwezini tafuta series inaitwa fringe kaangalie utaelewa
We unajua mkuu wengine hawajui vitu hivi vina hitaji ufuatiliaji coz vipo complicated sana
 
IIli mzungu aweze kukuona wewe kuwa ni mtu wa ovyo, lazima kwanza wewe mwenyewe uwe na hisia hizo kwamba wewe ni mtu wa ovyo, kabla ya yeye kuwa amuekuona hivyo. Sikatai kuwa wazungu wana matatizo, lakini pia lazima tuukubali ukweli kuwa matatizo mengine mengi huwa tunayatengeneza sisi kichwani, halafu tunawarushia wao. Na tukishafanya hivyo, wao nao wanazikubali lawama wanazorushiwa, kwa sababu huwa zinawafanya wanajisikia superior, wakati kumbe hata contribution yao inakuwaga haipo!
Nakubali, Lakini yana mwisho
 
Unajua inapokuja mada kama hii naona wengi wanakujaga na kukazania "UONGO" bila kua na hoja za maana hii story sio fiction ni kitu real kabisa and baadh ya research zinaasema INA mahusiano na time traveling madini ya mtukio kama haya huwez yapata kirahisi kwasababu hii ni technology inatakiwa kuwa innovated na ni vita kama ile ya technology ya silaha za kivita au safari ya mwezini tafuta series inaitwa fringe kaangalie utaelewa
Tutafute Series tena!!!??? Hizo si wanaandaa haohao wanaotulisha matango pori!?
 
ITS A FICTIONAL STORY kama hadithi za sungura za fisi
IMG_20190612_190803_727.JPG
IMG_20190612_190816_413.jpeg
 
Back
Top Bottom