Maajabu ya mwanaume niliyenae

Naikata nichemshe supu niongeze haka kamwili kangu
Uongeze kamwili ili uwe 3kimo?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Acha uji.nga wewe unakazwa na kuhudumiwa sasa unataka akupetpeti ili apoteze muda wa kutafuta money utakula nini wewe? Fu.ck love!
 
Wanakuita Muree
Le mbebizz wa ukwee
Nataka nije mwenyewe
Nyumbani kwa muzee
Nimchukue sista ake na bonge
Niende nae huko mambelee
Nikamwonyeshe malovee
Vipi...niendelee?
Hebu endelea endelea naeza kukusamehe kwa ulichofanya kule... Afu ukimaliza nikute voice ya kubembeleza umetuma[emoji35]
 
Uongeze kamwili ili uwe 3kimo?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Niwe 1kimo
 
Dada yangu unatatizo, unataka kupetiwapetiwa au unataka kurun ur life!!???..., acha utoto..
 
Ila jamani kuna ukweli apo mwanamke anaitaji mapenzi na maneno matamu na kupetiwa sio pesa uyo dada akijikwamua akapata kazi uyo boy lazima atachwa tu na kumtafuta wa kumpetipeti.
sana yani
 
hahaha
 
U r vr right!!! Ampe vyote lkn bila kumpa mda, atention na care... Ipo siku atakutana na kisebengo atamtamkia tu nakupenda mara mbili tatu then bint atajiona amepata malaika na jamaa atabwagwa na pamoja na pesa zote anazompa...
NI KWELI
 
Duh....ila sasa nashindwa kukubaliana na hayo mambo kwasababu naumia nataman sana abadilike ila hatak...
 
Yeye yupo Ku provide kwako
Wakati wewe upo after sex
Nyie ni watu wawili tofauti ambao akili yenu inawaza vitu viwili tofauti
we fala who said I was after sex?
 
Kwa nini lugha iko hivi! yaani mwanamke anatendwa ilhali mwanamme anamtenda. Mfano anaolewa/unaoa; unakaza/anakazwa; analiwa/unakula...
Yaani hii imemlemaza sana mwanake ndo maana kila kitu anataka apewe si atoe hata mwili wake unamlipa japo usipofanya vizuri anakasirika starehe yake wewe ulipe.
kila kitu we ona unamwachia mke ana katoto kamoja tu Msimbazi anakukasirikia eti haitoshi! unaacha/anaachwa; unamnunulia/ananunuliwa ...
hata kumpenda utapenda mwanamme yeye apendwe! mh!
 
Tuombe: Baba tunakuomba mjalie mwanamke huyu mume mwenye maneno mengi zaidi bila matendo, ili akapate kujawa na furaha, ameeen!
 
we fala who said I was after sex?
[emoji23] [emoji23] Ku Punic hivyo vipi tena? Ulitaka kila anaye comment hapa akufurahishe nini? Huyo Magu tu hatumfurahishi utakua wewe!!? Sasa ongeza tusi jingine
 
Hakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
Sio milionare, atakuwa trilionare. Hawa viumbe ni very comlicated. Jamaa anampa kila kitu. Anampa hela na anamkaza kisawasawa mpaka mwenyewe amekiri, lakini wapi demu hajamkubali.

Mungu tu atusaidie sisi wanaume wa ukweli. Tutahangaika sana mpaka mwisho wa uhai wetu
 
kuna mtu alinwah kuniambia dunia ya leo you just care for your own hapness the rest achana navyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…