Maajabu ya Mji wa Chato

Hakuna mahali kama Arusha.
Hakika ila nashangaa kwa nini wao hawataki sehem zingine wawekewe lami. Arusha barabara zote ni mikeka tena standard kila kona hadi ndani ndani


Ukienda kule vunjo kuna njia imepigwa full mkeka ila ukiulizwa inaenda wapi unaambiwa "Inaenda kwa mrema" alijenga kipind hicho akiwa waziri wa mambo ya ndani

Wacha wenye kukumbuka kwao wafanye hivo maana wengi wa wanaopinga maeneo yao yana lami safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aiseh....! wafanye mpango na morogoro waweke taa....., mfano pale makutano ya iringa road na barabara ya tumbaku, hatari sana pale, pia eneo la kihonda magorofani na makutano ya dodoma road na pale njia ya mazimbu road,,,,ni maeneo hatari sana
Waambie Halimashauri ndio KAZI yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo na huku mji wa Magu kama unaelekea Musoma uone barabara za lami kila mtaa ila traffic light bado hatujaweka!! Wivu utakuua mkuu!!
 
Njoo na huku mji wa Magu kama unaelekea Musomauone barabara za lami ika traffic light bado hatujaweka!! Wivu utakuua mkuu!!
Mpango wa kuweka traffic light pale Magu upo, zitawekwa kwenye makutano ya barabara JIRANI na eneo la gulio pale . Nadhani Chagadema watajinyonga very soon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijiji cha chato kinakuja kwa Kasi kweli. Kinajimbizana na new York city
 
Hahhahahahahahaga
Dah umenifurahisha sana mkuu
Ila kinacho furashangaza zaidi chato kila mtumishi lazima acheze mgambo tena siyo ombi ni lazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaizungumzia Chato kwa kejeli lakini tuizungumzie Chato kwa hoja na uhalisia wake. JPM ni Rais wa Tanzania na anatoka Chato kwa hiyo utake usitake mazingira ya Chato lazima yakarabatiwe na yarekebishwe kumuwezesha Rais kufanya kazi zake kwa ufanisi. Tukumbuke Rais haendi "likizo" kama likizo na hili linafanyika ulimwengu mzima. Mar-a-largo kule USA imefanyiwa hivyo. Pili kuhusu Airport nalo nafikiri ni la msingi ule ule tu. JPM atakauwepo miaka 5 ijayo na inawezekana hata 10. Kuutoa msafara wa Rais hadi Mwanza halafu uingize kwenye ferry halafu uende Chato nafikiri ni gharama kubwa sana vinginevyo uwe na "standby logistics kanda ya ziwa kitu ambacho nafikiri gharama zitakuwa kubwa sana sana. Kwa maoni yangu Airport ni shuluhisho muafaka. Assume JPM atastaafu 2025 bado eneo hilo litahitaji Airport kwa kuwa ukitua hapo utaweza kwenda migodini, Biharamuro, Muleba hadi Bukuba. Tatu turidhike tu kwamba zile nyakati za kujenga Airport Arusha na Moshi, barabara za lami kaskazini, umeme kaskazini zimefikia ukomo wa milele! Ni mawazo yangu tu lakini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege watapanda bure,,ila hata kama mim lazima kwetu nipapendeleee
 
Kuna wa kule migombani(Moshi) sio viongozi lakini mbona wanafanya makubwa sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…