Maajabu ya Mji wa Chato

Maajabu ya Mji wa Chato

Hahahaha wewe punguza mapenzi kwa Magu.Kwahiyo kuwa na barabara nzuri lakini wananchi hawana magari inaaminisha nini?kuwe na Airport nzuri lakini wenyeji hawapandi hizo ndege?kuwe na office nzuri za TRA lakini kodi inayokusanywa ni kituko?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu umenichekesha sana, ila jua tu hii chato inaandaliwa kwa ajili ya watoto wetu wa 2050
 
ahahahhaaaha nimecheka sana sana ni kweli nilifika Chato nikitokea Bukoba kuelekea Mwanza. Nilipita pale Chato saa kumi jioni, kwenye zile taa ilikua gari yetu, Baskeli upande wa pili na sijui ng'ombe au Punda wale. Dah nilishangaa sana sana sana.

Tulionywa pia na mwenyeji wetu mmoja kuwa kule lazima kwenye zebra usimame hata kama uko peke yako maana hata Mwenyekiti wa Kiyongoji anaweza kukukamata, atakusimamisha ukijua anaomba Lift kumbe anakukamata.

Niliona pia ujenzi mkubwa sana sijui ilikua ni kitu gani kile au ndio lile Jengo la TRA???

Hahahahaah mkuu kuna watu walijua nafanya mzaha hapa, mwenyewe nlikamatwa na mgambo nlicheka sanaa
 
Back
Top Bottom